Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Hivi jina Poppy si ndiyo jina analopewagwa Mbwa? Nakumbuka nikiwa mdogo nilikuwa na kimbwa nakiita Poppy!
Huyo ni kamanda wa kwenye katuni fulani za science fiction, nadhani ipo na game yake. Nawaona wajukuu zangu wanaitana Kamanda Poppy Kamanda Poppy nikawauliza, wakanionesha.

Siku nilipolikuta hapa kwa Andrew ikabidi nicheke tu, labda na yeye ni kama mimi, maana natazama katuni zote wanazotazama wajukuu zangu, Mimi ni lazima nitazame katuni zote wanazotazama wajukuu zangu, nikiona zina ujinga ujinga nawapiga marufuku kistaarabu.

Wazazi wao wananitania wanaponikuta nipo busy natazama lkatuni na wajukuu zangu, lakini nashukuru wanangu wananielewa, wanafahamu kwanini nafanya hivyo.
 
Mtoto wa Rais leo unakimbizwa na panga kweli Baba yako alizingua sana hakua mzalendo kwa familia yake kabisa, sema na nyie watoto wa nyerere huwa mnazingua sana
 
Huyo ni kamanda wa kwenye katuni fulani za science fiction, nadhani ipo na game yake. Nawaona wajukuu zangu wanaitana Kamanda Poppy Kamanda Poppy nikawauliza, wakanionesha.

Siku nilipolikuta hapa kwa Andrew ikabidi nicheke tu, labda na yeye ni kama mimi, maana natazama katuni zote wanazotazama wajukuu zangu, Mimi ni lazima nitazame katuni zote wanazotazama wajukuu zangu, nikiona zina ujinga ujinga nawapiga marufuku kistaarabu.

Wazazi wao wananitania wanaponikuta nipo busy natazama lkatuni na wajukuu zangu, lakini nashukuru wanangu wananielewa, wanafahamu kwanini nafanya hivyo.
Hivi na wewe una kajukuu? Unavyopakaga watu shombo humu ndani huwa unajisikiaje?
 
Back
Top Bottom