Andrew akimbia Butiama baada ya wanakijiji wenye hasira kutishia kumcharaza mapanga

Andrew Ana vituko sana

Ova
 
Wacha ucharazwe tu kwa kweli sijui Hadi dasa wannfanya nn ujacharangwaa
 
Mental case
Watu wanajiua kila siku. It is absolutely unnecessary.
Watu wanasema sheria ni too crude,zinashindwa kuwalinda.
Sheria ni crude ndiyo. That is just as it should be.
Lakini lile jambo subtle,intangible,etherial which The Lawi cannot deal with,can be solved by psychiatry.
 
Waswahili husema...kwenye msafara wa mamba kenge huwa hawakosekani😂
 
Wewe acha uzwazwa...!
Hilo jina lako tunatengeneza leseni kibao za import & export halafu tunafranchize....
Hebu nitafute...
Una kitu, utafika mbali...
 
Andrew, pole sana kwa changamoto unazopitia, kwa lugha yetu adhimu ya Kiswahili, kucharazwa ni bakora, lakini kama ni mapanga ni kucharangwa!.

Nina swali moja kwako Kaka Mkubwa, watoto wa Mwalimu, mmezaliwa 8, why only you ndio unaandamwa na visa na mikasa?.
P
 
Chongolo,wewe kaa pembeni muache mkuu wa Wilaya aendelee na wana Butiama wengine.
 
Mbona ukisoma nyuzi zake tu unapata majibu kaka?

Huoni kuwa DOHANI yake haitoi moshi nje?
 
Mimi nakumbuka siku alipoleta uzi ambao ni km huu ndio mwendelezo ilionekana kuna mkuu wa wilaya,katuma mjumbe ili amuambie jamaa apotee kutoka Butiama yaani kwama Butiama ni CCM,mkuu wa Wilaya ni mkuu wa CCM na kijana wa Mwl ni Chongolo.
Aku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…