Pole sana.Sasa,sijui Kuna tatizo gani. Lakini sasa I am on the road again. Nipo Kiabakari nasubiri gari la Mwanza.
Baada ya Mkuu wa Wilaya kushindwa kunifukuza naona wanakijiji wamekuja kivingine.
Naambiwa nionfoke kijijini upesi kama sitaki kucharazwa mapangwa na wanakijiji wenye ghadhabu.
I wish a Happy Christmas to everyone.
For me it will be Christmas in Dar.
Basi hili hapa.
Tatizo hii nchi,solution ni Mirembe halafu unaenda kuwa rebirth as Schizophrenic.Watu wanajiua kila siku. It is absolutely unnecessary.
Watu wanasema sheria ni too crude,zinashindwa kuwalinda.
Sheria ni crude ndiyo. That is just as it should be.
Lakini lile jambo subtle,intangible,etherial which The Lawi cannot deal with,can be solved by psychiatry.
Andrew ni mtoto wa Nyerere siyo mjukuu wake.Hahahaha hawawezi hao wanatishia nyau….yani mjukuu wa baba wa Taifa acharangwe mapanga?😂😂😂😂😂
Huyo mzima kuliko wote, sema alibebeshwa mizimu ya machifu wote wa kizanaki, imemzidi kimo.Andrew siyo mzima kitambo.
Nani kasema wale wengine hawaandamwi na mikasa?Mimi nakumbuka siku alipoleta uzi ambao ni km huu ndio mwendelezo ilionekana kuna mkuu wa wilaya,katuma mjumbe ili amuambie jamaa apotee kutoka Butiama yaani kwama Butiama ni CCM,mkuu wa Wilaya ni mkuu wa CCM na kijana wa Mwl ni Chongolo.
Aku
Hapa sisi kama Taifa kwa huyu mwamba tulipigwa! Makongoro naye asingekuwa mlevi hapo ndipo tungepata kaka wa Taifa!Kaka wa Tanganyik pole.
My age is 70.Something wrong ni bora at your age 69yrs to find a therapy on how to treat ur mind
Ur no longer having serenity.(calmness)
True at your age 70 years all you need is wisdom and humbleness.My age is 70.
I have cone to the end of life.
Nimemaliza kuishi.
Nilikuwa natembea Arusha a few weeks ago,mtu mmoja akasema,"Mzee,angalia! Umri nao umekwenda!"
Nimeanzisha uzi huu. Kama mtu ana complaints against me,kwa nini asiziandike hapa?
Wanataka kuleta stupidity by which unamtazama mtu kama anaogopa,halafu unamletea visa vingi.
Halafu mtu hauelewi kwa nini balaa nyingi zinakuandama,kumbe you are encouraging it by being foolishly afraid.
Na mimi,nakumbuka sasa kwamba jana nimeagizwa niache( tabia yangu ya) kugombana na Wapinzani.
Kwa hiyo natumaini,Inshallah, hutasikia nimesema neno lolote kumsifu Rais Samia.
Anajaribu kuaminisha watu kuwa ni intelligent. Ni jamii ya Kisandu na Manthanzua.Huyo mzima kuliko wote, sema alibebeshwa mizimu ya machifu wote wa kizanaki, imemzidi kimo.
Andrew ukimsoma tu, unaelewa kuwa hiki kichwa siyo cha kawaida kabisa, super intelligent.
Jinsi unavyoandika kwa chuki tu unaonesha u poyoyo wa hali ya juu.Anajaribu kuaminisha watu kuwa ni intelligent. Ni jamii ya Kisandu na Manthanzua.
Mbona handwriting kama ya DJ maarufu mmarekeni DON NALIMISON?
Kisandu the don[emoji23]
Nlisoma na jamaa anaitwa kisandu
Huyu sio Mpwayungu Village kweli aliyekimbia kule kondoa?
Don....ni ngumu sana kuficha utambulisho wako.
Huyu ni Andrew Nyerere mtoto wa Mwalimu Julius Nyerere aka Baba wa Taifa. Kiufupi huwa akili zake anazijua mwenyeweNimewaza kama wewe sasa kwann dj wetu anajificha na wakati ni kitambo na tunatamani kumuona😁😁
Kuna unsocial act ambayo anaitenda kwa Jamii sio bure!Andrew siyo mzima kitambo.
Nyerere alikuwa mbinafsi sana. Yani kalostisha familia yake. Angalia kama huyu hopeless na helpless. Nyerere asingekuwa mchoyo na mbinafsi sasa hivi huyu Andy angekuwa huko ufukweni Bahamas ama hawaii kaning'iniza poumbou tu huku akilishwa zabibu kwa kudondoshewa mdomoni na madem wakalii.
Kisandu Yuko wapi?Nlisoma na jamaa anaitwa kisandu