Erythrocyte
JF-Expert Member
- Nov 6, 2012
- 128,308
- 245,426
- Thread starter
-
- #21
Maoni katoa Chenge , chanzo Mwananchi , madongo anapigwa mleta mada wa jf !!Anayezungumziwa hapa ni mleta mada, wenye akili huwa wanajadili kila kitu, wanajadili mada na wanamjadili mleta mada.
Kaangalie walipata kura ngapi,nadhani Hilo litajibu swali lako na kuacha kuwaza!Huwa nawaza hawa kuna mtanzania hata mmoja anawaamini?
Yameheshimiwa mawazo yake hasa na yeye alipoheshimu mawazo ya wananchi kwenye rasimu ka Katiba ya WariobaChenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
Kweli kabisaChenge ni mfumo mbovu tu lakini ni mtu smart sn
Mlisema anastahili kuwa jela, vipi mngesikilizwa hayo maoni mngeyapataje?Tulimtukanaje na hilo linahusiana nini na maoni yake
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Si mlisema anastahili kuwa jela huyu au mshasahau Yale maazimio yenu kwenye escrow?Chenge ni mfumo mbovu tu lakini ni mtu smart sn
Kwenye hili naipenda sana CCM.wajinga wakiwa wengi na wakaunda chama alafu kikashikaa madaraka basi jua hiyo nchi inageuka kuwa jehanamuWapo...ndiyo maana Dola yapasa kuamua Nani ashike hatamu,ukiacha demikrasia ufanye kazi kwa jamii isiyoelimika na kuitisa nchi kwenye bahari ya zahama
Hayo mawazo yake mngeyapata wapi ikiwa angekua jela Kama mlivyotaka?Yameheshimiwa mawazo yake hasa na yeye alipoheshimu mawazo ya wananchi kwenye rasimu ka Katiba ya Warioba
Hahaha....... Chadema mnayumba sana!
Kwani wanaCCM wangapi mnawapiga vita kana kwamba hawakufanya lolote kama NdugaiHayo mawazo yake mngeyapata wapi ikiwa angekua jela Kama mlivyotaka?
Kwenye hili naipenda sana CCM.wajinga wakiwa wengi na wakaunda chama alafu kikashikaa madaraka basi jua hiyo nchi inageuka kuwa jehanamu
Ndio maana mimi nasema mwanasiasa na Ibilisi wanakaa shimo moja.Unashangaa chenge,mamvi walimoa kiti agombee..Wana mentality ya kikahaba
Joka la Makengeza,msaka fedha, Mheshimiwa sana,Mtakatifu na Mpakwa mafuta,kiungo mchezeshaji wa Ufisadi FC,Mzee wa vijisenti na🤣🤣🤣Mwenyeheri Mtemi Andrew Chenge🤣🤣🤣Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .
Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa Kamati hiyo kurejea kwenye Rasimu iliyopendekezwa na Wananchi , Amedai ni kweli si rahisi kumzuia Rais wa Nchi kuteua Maofisa wa Serikali , lakini anawateua kwa utaratibu gani ? ni lazima Wateuliwa Waombe nafasi na Wasailiwe , amesema utaratibu huu ndio utakoiletea heshima nchi .
Chanzo : Mwananchi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Linahusiana kwa sababu bado chadema haijawahi kutoka hadharani kumsafisha Andrew Chenge dhidi ya tuhuma mlizowahi kumtuhumu kupitia "List of Shame" ya Mwembeyanga.Tulimtukanaje na hilo linahusiana nini na maoni yake
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Angekuwa yupo ndani ya mfumo, kamwe asiongea hivi eti! Na hili ndilo tatizo la wana ccm walio wengi.Mzee Chenge , mtu anayeaminika kuwa miongoni mwa wanaccm wachache wenye busara , leo amefika kwenye Kamati ya Rais ya kuratibu maoni ya Katiba mpya na kueleza yaliyo moyoni mwake .
Chenge ambaye pia ni Mwanasheria wa Zamani wa Serikali ya Tanzania hakumung'unya maneno , amewataka wajumbe wa Kamati hiyo kurejea kwenye Rasimu iliyopendekezwa na Wananchi , Amedai ni kweli si rahisi kumzuia Rais wa Nchi kuteua Maofisa wa Serikali , lakini anawateua kwa utaratibu gani ? ni lazima Wateuliwa Waombe nafasi na Wasailiwe , amesema utaratibu huu ndio utakoiletea heshima nchi .
Chanzo : Mwananchi
Sent from my SM-J500H using JamiiForums mobile app
Brilliant tapeli🤣🤣🤣Chenge pamoja na kwamba ni tapeli lakini kichwani yupo vizuri sn
Akifanya fanya vyema heko astahiliChenge huyu ndio mlimtukana matusi yote? Leo kawa mzuri?
OkBrilliant tapeli🤣🤣🤣