ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!
Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.
Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.
Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.
Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..
Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?
Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!