Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
A load of stupidity
 
Ni kweli inatakiwa udeal na wazazi ndo maana hata mimi nilitaka nikamkate kichwa Papa Francis baada ya kutoa maelekezo makanisa yabariki ushoga ila nashukuru Mungu kanisaidia kumuondoa yule mzushi duniani
Ukikamatwa masaburi lazima utafute diversion ambayo wala haina tija. Mambo ya papa Francis na waumini wa kikatoliki yanaingiaje hapa.
Unapoipigia ccm chapuo ni lazima fuse za kichwani zichome, you can't be in your senses ukatetea maovu yanayofanywa na serikali hii dhalimu.
 
Punguza kujieleza muda hautoshi.
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
Wewe ndio mgonjwa wa akili kama siyo mweu wana familia wapo wewe ndio msemaji wao
 
Inawezekana wewe ndio mwenye tatizo la afya ya akili, ujumbe umefika sasa nenda kama wewe jeuri, kama ujapigiwa kelele za wizi
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
Mgonjwa wa akiri huwa anafundishika?
 
Mtu kapasua mbarika halafu mnamuona ni mgonjwa wa akili, msitake tutafute akili kwa wendawazimu kama wajuvi wanafanya mambo ya hovyo. By the way yuko sawa ki akili na alichokisema ni kweli acheni kumtupia mawe, nyie ndio mna matatizo ya akili
 
CHADEMA waliingiaje kwenye himaya ya nyumba ya muasisi wa Taifa kumlaghai mgonjwa? Hamna ulinzi? Kuna kichaa captain wa ndege? Huyo alishiriki kikamilifu kulinda mipaka ya nchi hii. Aliendeaha madege ya kivita tuliyoachiwa na wangereza na alimfurusha Idd mpaka Kampala. Kuna kichaa anaeijua kufuatilia habari za kimahakama? Hamjui historia ya nchi, pambaneni kwa hoja msitukane watu, Andrew hakutukana mtu why mnamtukana? Be careful mtakasirisha na wengine ambao hata hatukua na mpango na haya majambo yenu
 
Mbona Andrew kaongea kawaida tu hujamzoea tu.
Hata atembee Uchi anakua kalewa tu muda huo hana ukichaa wowote.
Kichaa gani anajua hadi password kulog inn JF.
 
ANDREW NYERERE ANA MASWALI NA ANGALIZO LENYE HOJA ZITO KWA MIFANO SAHIHI : msikilize

Andrew Nyerere - uchaguzi umekuwa kizungumkuti kwa sababu Tundu Lissu mmemfunga .... William Shakespeare amezungumzia ucheleweshaji wa haki ..naye Charles Dickens ameandika riwaya Bleak House .. Albert Einstein kuhusu muda /time is the fourth.. sasa mahakama yetu haitaki kuzingatia wakati ...

View: https://m.youtube.com/shorts/cbo_c30rl-w

N.B :

View: https://m.youtube.com/watch?v=NWHn-eNkkPY
 
Back
Top Bottom