Andrew Nyerere ni mgonjwa wa afya ya akili, asaidiwe kwa maombi

ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
Pambaneni na kujibu hoja aliyoitoa magige(Andrew nyerere) msipambane na mtoa hoja!

Unaweza kumdharau mbeba gunia utakavyo.....,lakini kamwe ni MWIKO! Kudharau kilichobebwa ndani ya hilo gunia! Kwa mtu mwenye utimamu wa kifikra.
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!

Mgonjwa wa akili hawezi kuongea hivyo. Sometimes wewe unayedhani uko sawa inawezekana ukawa mgonjwa zaidi yake.
 
Bora mwenye shida ya akili anayesema kweli kuliko mwenye akili timamu anayesifia mabaya yanayoendelea na kuukalia kimya uovu.
 
Huyu mleta mada anayejiita Ezoo, kwa namna tu ulivyoandika, hakuna shaka kabisa, ana tatizo la uwendawazimu. Kama ana ufahamu wa kiasi yambidi aende kwa ndugu yake yeyote wa karibu amwulize wanamwonaje. Halafu aombe wampeleke kule Milembe hospital, pengine itamsaidia kiasi. Huyi mleta mada, hapa alipifikia, hata maombi hayawezi kumsaidia.

Kiwango kiwango cha uwendawazimu alichofikia huyu Ezoo, ni dhahiri ni cha juu sana kwenye magonjwa ya akili. Wenye matatizo ya akili yaliyofikia kiwango cha juu, huwa hawajitambui kuwa wana tatizo la akili, na huwa wanajiona kuwa wana akili sana, na wale walio na akili timamu, wao huwaona ndiyo hawana akili. Pia watu wenye matatizo ya akili waliofikia kiwango cha mleta mada, huwa wanajiona wana nguvu sana, ndiyo maana huwa wanaweza kusimama hata katikati ya barabara, na magari yanapowakwepa, huwa wanaamini wana nguvu kuyashinda hata hayo magari, ndiyo maana yanawakwepa.

Tumoe pole Ezoo kwa tatizo hili kubwa lilililompata.

Wanagroup, huyu mleta mada msameheni, wala msipoteze muda wenu wa thamani kujibishana naye. Mgonjwa anastahili huruma.
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
Andrew Nyerere ni mzima wa afya, he is a former jet pilot, and well educated, siyo kama wewe matako usiyejua uliloliandika mpuuzi wewe. Kwa hiyo kwa akili yako, wagonjwa ndiyo wanaombewa? Sasa hizi hospitali ni za nini fala wewe? Wewe ndiye mwenye shida ya akili. Yaani kila mtu anayeona ujinga wa CCM ya Samia unamuona hana akili timamu....Hizo 20, 000 mnazopewa zinawafanya kuwa wehu.
 
Simfahamu huyu bwana na kama kweli unataka kuwasaidia wagonjwa wa akili nadhani unaweza ukawafuata Hospitali ya hayo Wagonjwa nadhani kuna Milembe, Bugando Mwanza kuna C1 n.k...

Lakini kama unasemea comment yake aliyotoa hivi karibuni ndio ukosefu wa Akili binafsi nadhani kauli hio aliitoa mtu mwenye fikra murua kabisa ambaye faculties zake zote zinafanya kazi at an optimum level...

Ila wewe unayekuja huku kunyanyapaa watu kwa kusema eti wana matatizo ya akili hata kama ni kweli ndio nadhani una matatizo ya AKILI; Unadhani muhusika akiona hii backlash yako itamsaidia positively ?
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
Ooh kumbe sawa hii muelewe sasa ule usemi kuwa kuna muda saa mbovu imesema ukweli kwaiyo asipuuzwe saa mbovu imesema ukweli
 
Kwahiyo CCM tunamjadili mgonjwa? Badala ya Hoja zake?
 
Nitafutie wagonjwa wengine 3 wa a
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbing
Nitafutie wagonjwa wengine 3 wa akili ukiacha wewe, àmbao wanajua Oct 29 kuna uchaguzi fake na kesi ya Mali za CHADEMA ni Oct 30. Niletee hapa kama unawafahamu. Andrew kazuia Wahuni kuzuru Kaburi la Baba yake wewe inakuuma nini? Waambie waende kwenye kaburi la babako basi?
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!

Mama asilazimishe kwenda kutembelea watu ambao hawataki tena kisiasa. Wengi wanafikiria wewe ndiye kichaa hapa na umekuwa kama msukule
 
Lakini si alikuwa pilot? Aliendeshage ndege bila kuwa na akili?

Ila nyinyi mna laana sio Bure. Kumtukana Mzee wa watu
 
Sasa kama ni mgonjwa wa akili mbona mnarukanae kila kona? NB: angesifiasifia kama nyie mngemuita genius!!
 
Watoto wa mchongameno wote madishi yameyumba, baadhi yao wameshafukuzwa na wanakijiji huko Butiama kwasababu ya mambo yao ya hovyohovyo
Lakini huwezi kusema "mambo yao ya hovyo hovyo" ni pamoja na UFISADI na kutoa uhai wa waTanzania kama hawa wengine wanavyo fanya sasa!
Kuna mambo ya hovyo hovyo zaidi ya kuua binaadam wenzio?
 
Hata saa mbovu husema majira sahihi mara mbili kwa siku. Alichosema Andrew ndicho walichotamani kukisema wanafamilia ya mwalimu ila uoga umewakamata kisawa sawa
 
ANDREW NYERERE NI MGONJWA WA AFYA YA AKILI , ASAIDIWE MAOMBI.
View attachment 3481613
Familia ya mwalimu Nyerere ilipata bahati mbaya sana na haikuwa bahati kwa huyu mtoto wake Andrew Nyerere ambaye ni mtoto mkubwa wa Baba wa Taifa ana matatizo ya akili na wendawazimu ambao kwa kweli anatakiwa apewe matibabu na kusaidiwa hata kwa maombi tu.!

Andrew Nyerere alizaliwa mwaka 1953, licha ya Mwalimu Nyerere kujaribu sana kumjenga kama kaka mkubwa wa familia lakini Andrew (Burito) hakuwahi kupona shida ya afya ya akili mpaka leo uzeeni.

Andrew Nyerere mpaka anaingia uzeeni sasa amekuwa na matukio mengi ya kusikitisha na kutisha ikiwemo kuvua nguo na kutoka nje na kutembea matako wazi bula uoga yaani. Familia ya Mwalimu Nyerere huwa inajitahidi kumfungia (mara nyingi yuko pale Mikocheni) na kimsingi ni kama ametengwa kwa sababu za kuwa mgonjwa wa akili.

Ndio maana yeye ni mtoto wa kwanza lakini hujawahi kumuona kwenye Shughuli za Serikali au familia ni kina Madaraka na Makongoro ndio wako mbele kama kaka wakubwa wa familia ya Mwalimu Nyerere.

Inatia aibu sana na kinyaa kwa watu wa CHADEMA kufanya hila za kuizunguka familia ya Mwalimu Nyerere na kwenda kumlaghai mtu mwenye matatizo ya akili kurekodi video ile na kulishwa maneni ya pumba kiasi kile. Hajui afanyalo, hajui atendalo na wao CHADEMA wanaona hii ni ajenda yaani!..

Hivi mtu mwenye matatizo ya akili kama huyu anaweza kuongea kitu cha maana kwenye jamii ya taifa hili? Au CHADEMA kwa kufanya hivi wanaona wamefanikiwa sana propaganda na porojo zao? Au kwa sababu ni mgonjwa wa akili mwenzao?

Asamehewe, ila Rais Dkt Samia akishaapishwa baada ya uchaguzi wa 29 Oktoba 2025 atakwenda Butiama na kwenye kaburi la baba yake atamuombea dua asamehewe hapa duniani na mbinguni!
mnang'ang'ani kwenda kwenye

kesha sema ataki muende kwenye kaburi la baba yake,si muende kwenye makaburi ya baba zenu sasa wenye tatizo la afya akili ni nyie mnaong'ang'ani kaburi la baba yake
 
Hoja

Hoja Yako ni nzuri sana na inamashiko kama ambavyo wewe umetarajia lakini naomba tujiulize wote Kwa pamoja... Kama yupo hivyo ambavyo umesema ni Kwa Nini familia yake yote imekaa kimya mpaka Sasa hakuna aliyekanusha??

Unataka kusema familia yote ya mwalimu hawajui madhara ya hiyo kauli ya kaka mkubwa? Mpaka unakuja wewe jirani kua msemaji wa familia ya mwalimu?? Ukiona wamekaa kimya ujue ni muda Wa saa mbovu kusema ukweli
 
Back
Top Bottom