Kila ninapomaliza kumwosha nguruwe,Upofu kuweza kuwepo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Kila unaposema mimi ni kipofu, unathibitisha Mungu hayupo.
Unaelewa hilo?
Hujathibitisha Mungu yupo.Kila ninapomaliza kumwosha nguruwe,
Nikimwachia tu huyo anarudi matopeni kujichafua tena.
Ndipo ilipo tofauti kati ya Wana wa Nuru na Wana wa Giza.
Magufuli aliitwa MTUKUFUUkitaka maisha marefu duniani, jifunze unyenyekevu na kuepuka kujimilikisha sifa za Mungu.
Ni Muhimu athibitishe Mungu hayupo,
Atueleze alimtafuta lini na wapi akamkosa.
Ni sawa tu na pale South Africa, wazungu walipofika pwani ya s.a walisema hawakukuta mtu yeyote pale.
Kiranga athibitishe Mungu hayupo,
Mimi nimethibitisha Mungu yupo!
Wewe unaamini hapakuwa na mtu pale Bondeni zaidi ya ndege pekee?
Wapi ulipothibitisha kama mungu yupo zaidi ya kwamba umeandika tu kuwa Mungu huyo yupo??Wewe ndiye uthibitishe kuwa Mungu hayupo.
Mimi nimethibitisha Mungu yupo.
Wapambe nuksi wabaya.Magufuli aliitwa MTUKUFU
Ila we jamaa unatumikia kitu usichokijua wala kukielewa yani kusema useme wewe ila kuthibitisha unaanza chenga kibao, ni sawa wakati tupo shule kwenye somo la hisabati lilikuwa likitoka swali lazima uonyeshe kama jibu umepata 2 basi jibu njia na kanuni ulopatia lazima uonyeshe na kuna namna yakuthibitisha jibu lako sio tu useme 2 kama umeigilizia.Thibitisha wewe kuwa sauti niisikiayo Si ya Mungu ndugu Kiranga.
Wewe unaweza kumuelezea kipofu wa Kuzaliwa RANGI mbalimbali akakuelewa?Ila we jamaa unatumikia kitu usichokijua wala kukielewa yani kusema useme wewe ila kuthibitisha unaanza chenga kibao, ni sawa wakati tupo shule kwenye somo la hisabati lilikuwa likitoka swali lazima uonyeshe kama jibu umepata 2 basi jibu njia na kanuni ulopatia lazima uonyeshe na kuna namna yakuthibitisha jibu lako sio tu useme 2 kama umeigilizia.
@Rabbon: Ikiwa wewe unaamini sisi tusioamini hayo mambo yako ni Vipofu. na wewe unaona. Hebu Tuambie Rangi ya Blue Ikoje, Ili tuamini kama kweli unaiona.Wewe unaweza kumuelezea kipofu wa Kuzaliwa RANGI mbalimbali akakuelewa?
Ukisema hakuna Mungu, thibitisha. Hadi Leo wazungu wanafanya Utafiti SAYARI mbalimbali kutafuta uhakika, Leo anakuja mtu ghafula na kudai hakuna Mungu ilhali hata hawezi kuijua njia ya upepo ni ipi!!
Hapa upo sahihi kiranga jamaa asilete janja janja..kifupi mijadala kama hii inapo kua inaendelea nikwamba nyuma yake kunawatu wengi wanafatilia hoja zitolewazo.wakati mwingine sio hadi mtu acoment nayeye bali kunakundi wanao jifunza kwakusoma tuu bila hata kugoa maoni yao.Kwanza kabisa, hujathibitisha yupo.
Umesema unaongea naye. Huo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Hujathibitisha hata kwamba umeongea na yeyote.
Thibitisha Mungu yupo.
KIFUPI SANA MUNGU NIKWAMBA MUNGU AKIJULIKANA TAYALI AMESHAPOTEZA SIFA YAKUA MUNGU.HAYUPO MTU AU KIUMBE YOYOTE DUNIANI HAPA AU ANGANI ANAE MJUA MUNGU..Kwanza kabisa, hujathibitisha yupo.
Umesema unaongea naye. Huo si uthibitisho kwamba Mungu yupo.
Hujathibitisha hata kwamba umeongea na yeyote.
Thibitisha Mungu yupo.
Haiwezekani Hadi mkubali kwanza kuwa ninyi ni vipofu Ili mpewe macho Kisha mueleweshwe uwepo wa Mungu.@Rabbon: Ikiwa wewe unaamini sisi tusioamini hayo mambo yako ni Vipofu. na wewe unaona. Hebu Tuambie Rangi ya Blue Ikoje, Ili tuamini kama kweli unaiona.
Hujajibu swali! Sijauliza kuhusu uwepo wa Mungu hapa, nakuuliza ikiwa wewe unadai unaona, na unafahamu rangi ya Blue, Tuambie hiyo rangi ikoje ili tuamini kama kweli unaiona.Haiwezekani Hadi mkubali kwanza kuwa ninyi ni vipofu Ili mpewe macho Kisha mueleweshwe uwepo wa Mungu.
Na mimi ndicho nilichoona hicho.Hapa upo sahihi kiranga jamaa asilete janja janja..kifupi mijadala kama hii inapo kua inaendelea nikwamba nyuma yake kunawatu wengi wanafatilia hoja zitolewazo.wakati mwingine sio hadi mtu acoment nayeye bali kunakundi wanao jifunza kwakusoma tuu bila hata kugoa maoni yao.
Kwahapa nimedeal kuangalia ninani yupo sahihi na anaenda vizuri kuisimamia hoja yake..
Kifupi sana mpinzani wako ashaishiwa point asitufanye sisi wajinga kama hoja hana atulie nasio kutoka n'je ya mada.
Huoni kwamba hapa umeanza na a priori fallacy ya ku assume kwamba Mungu yupo?KIFUPI SANA MUNGU NIKWAMBA MUNGU AKIJULIKANA TAYALI AMESHAPOTEZA SIFA YAKUA MUNGU.HAYUPO MTU AU KIUMBE YOYOTE DUNIANI HAPA AU ANGANI ANAE MJUA MUNGU..
ZAIDI YAHAPO NIUTAPELI NAKURAGHAI WATU TUU.
MUNGU HAWEZI KUJITHIBITISHIA UWEPO WAKE YEYE? NAWALA BINADAMU HUWEZI KUDHIBITISHA UWEPO WAMUNGU..ZAIDI YAHAPO NIUTAPELI.KITENDO CHAMUNGU KUFANYA MBINU FLANI ILIWEWE UKILI NAUAMINI KAMA YUPO KINAMPOTEZEA SIFA YAKUITWA MUNGU MKUU MJUZI WA KILA KITU.
NAWEWE BINADAMU KINYUME CHAKE NIHIVO HIVO.
MUNGU HAYUPO KWENYE UWEPO WALA KUTOKUEPO,MUNGU HAJULIKANI WALA AKILI ZAKE HAZICHUNGUZIKI.
KADILI UNAVYO ZIDISHA MBINU ZAKUMJUA MUNGU KWAUNDANI NDIVYO UNAZIDI KUPOTELEA KWENYE KICHAKA KIKUBWA ZAIDI CHAKUFELI.
Uwezekano wa upofu kuwapo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Haiwezekani Hadi mkubali kwanza kuwa ninyi ni vipofu Ili mpewe macho Kisha mueleweshwe uwepo wa Mungu.
Uzi Umegeuka Moto, na wasiwasi Aliyesema umekimbia kakimbia yeye.Uwezekano wa upofu kuwapo ni uthibitisho kwamba Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.
Angekuwapo, ulimwengu aliouumba usingeweza kuwa na upofu.
Unaelewa hilo?
Unataka kusema kwamba Mungu angeshindwa kuumba ulimwengu huo ambao dhambi zinaweza kuendelea na watu hawafi?Isingewezekana dhambi ziendelee na kufa hamfi, isingewezekana.
Mungu ni mtakatifu, haiwezi kuruhusu DHAMBI kutamalaki milele.Unataka kusema kwamba Mungu angeshindwa kuumba ulimwengu huo ambao dhambi zinaweza kuendelea na watu hawafi?
Kama ni hivyo bhasi Mungu si muweza wa yote,Mungu ni mtakatifu, haiwezi kuruhusu DHAMBI kutamalaki milele.
Amen