Andrew Nyerere: Ukimpa mtoto peremende hakikisha anamsifu na kumshukuru Mungu

MPUMBAVU anazidi kujitutumua. Sawasawa na (Zaburi 53:1).
Mkuu,

Unajua unaweza kuogopa kuitwa mpumbavu kuliko unavyoogopa upumbavu wenyewe, na hilo litakufanya uwe mpumbavu zaidi?
 
Sasa mimi mbona najiandaa kumsifu na kumtukuza Mama .

Sifa ziende kwa Mama.
Hapo unamchulia,

Naye asomapo ujumbe huu, awakemee wanaomsifu na kumpa sifa anazostahili kupewa Mungu.

Mungu hapendi kushare utukufu na wanadamu.
 
Mkuu,

Unajua unaweza kuogopa kuitwa mpumbavu kuliko unavyoogopa upumbavu wenyewe, na hilo litakufanya uwe mpumbavu zaidi?
(Zaburi 53:1)

MPUMBAVU amesema moyoni mwake , Hakuna Mungu.

Nawe ndugu kiranga ni MPUMBAVU sababu hujakubali kuwa Mjinga ukamtafuta Mungu, unakimbilia kudai kuwa hayupo.

Rudi kuwa Mjinga tukufundishe na kukuthibitishia uwepo wa Mungu.
 
Wapi hapo ulipothibitisha mkuu nipaone nimefatilia comment zote sijaona zaidi unarudia maneno yaleyale bila facts.
Unataka nikupe fact ipi ikiwa hutaki kuamini nikuambiacho kuwa Mimi huongea na Mungu na kuisikia sauti yake?

Mungu anaishi ndani yangu kupitia Roho wake mtakatifu.
 
(Zaburi 53:1)

MPUMBAVU amesema moyoni mwake , Hakuna Mungu.

Nawe ndugu kiranga ni MPUMBAVU sababu hujakubali kuwa Mjinga ukamtafuta Mungu, unakimbilia kudai kuwa hayupo.

Rudi kuwa Mjinga tukufundishe na kukuthibitishia uwepo wa Mungu.
Unajuaje kuwa aliyeandika hiyo Biblia hakuwa mjanja aliyejua kwamba wapumbavu wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa upumbavu wenyewe, na njia rahisi kabisa ya kuwapumbaza waamini Mungu yupo, wakati hayupo, ni kusema kwamba kitabu cha Mungu kimesema mpumbavu amesema hakuna Mungu?

Kama kusema Mungu hayupo ni upumbavu, mbona unapata shida sana kuthibitisha Mungu yupo?

Thibitisha Mungu yupo kwanza, halafu ndiyo useme kusema Mungu hayupo ni upumbavu.

Wewe hujathibitisha Mungu yupo, unakimbilia kusema mpumbavu kasema Mungu hayupo!
 
Wapumbavu walijiumba wenyewe?

Mungu mpumbavu kaumba binadamu wapumbavu wasio mwamini, ilhali anataka aaminiwe sawasawa na Zaburi yake ya kipumbavu ( 53:1)
 
Mimi Mungu anaishi ndani yangu,

Ninaisikia sauti yake, nimethibitisha Hilo.

Kwangu Mungu Si Neno pekee nisomalo katika BIBLIA,

Mungu ni HALISI kabisa Kwangu, anaishi ndani yangu na ndani ya mamilioni ya wamwaminio.

Na funguo ya kumjua ni IMANI, wewe huwezi kujua haya niyasemayo usipokuwa na funguo hiyo iitwayo IMANI.

Karibu.
 
Mpaka sasa unapiga hadithi za imani yako tu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
 
Wapumbavu walijiumba wenyewe?

Mungu mpumbavu kaumba binadamu wapumbavu wasio mwamini, ilhali anataka aaminiwe sawasawa na Zaburi yake ya kipumbavu ( 53:1)
Mungu aliumba mtu mwenye akili na utashi wa kuamua kuwa na Akili au awe MPUMBAVU,

Sasa wewe umechagua kuwa MPUMBAVU Kwa hiari Yako Sawa sawa na (Zaburi 53:1).
 
Mpaka sasa unapiga hadithi za imani yako tu.

Hujathibitisha Mungu yupo.

Thibitisha Mungu yupo.
Mimi naisikia sauti ya Mungu na kuongea naye, hizo Si porojo, ni maisha yangu halisi.

KAZI ni kwako kuthibitisha kuwa hakuna Mungu.

Sio tu hujaweza kuthibitisha Mungu yupo, hata hiyo sauti hujaweza kuthibitisha kwamba unaisikia.

Thibitisha unaisikia hiyo sauti.
 
Ubarikiwe,

Mimi nimewahi kuwa mwalimu wa watoto WADOGO,

Kila mara nilipoenda darasani nimekuwa nikibeba mfuko wa peremende au biscuits za kuwapa watoto.

Sasa Kila mara wanaponishukuru Kwa kuwapa zawadi, Mimi huwaambia zawadi zile amenipa Mungu Ili niwaletee, hivyo wamshukuru Mungu.

Moyo wangu hujawa na furaha sana Kwa utumishi huo.

Pia nimejifunza kuwa, kukaa karibu na kuwa na urafiki na watoto WADOGO ni experience ingine kabisa maishani niliyoiishi binafsi Hasa watoto chini ya 5 years,

Hivyo Andrew Nyerere alipotoa mfano huo, Mimi nilielewa beyond limits za kibinadamu.

Ashukuriwe Mungu Kwa kupitisha ujumbe wa Leo kupitia mtumishi wake Andrew Nyerere.

Amen
 
Sio tu hujaweza kuthibitisha Mungu yupo, hata hiyo sauti hujaweza kuthibitisha kwamba unaisikia.

Thibitisha unaisikia hiyo sauti.
Thibitisha wewe kuwa sauti niisikiayo Si ya Mungu ndugu Kiranga.
 
Mungu aliumba mtu mwenye akili na utashi wa kuamua kuwa na Akili au awe MPUMBAVU,

Sasa wewe umechagua kuwa MPUMBAVU Kwa hiari Yako Sawa sawa na (Zaburi 53:1).
Kwa hiyo Mungu aliumba binadamu wenye kuweza kuwa wapumbavu?

Basi na huyo Mungu ni Mpumbavu.
 
Thibitisha wewe kuwa sauti niisikiayo Si ya Mungu ndugu Kiranga.
Yani kujamba ujambe wewe, halafu kazi ya kuthibitisha ushuzi sijajamba mimi unipe mimi?

Kwanza thibitisha umesikia sauti.

Ukiweza hilo.

Thibitisha sauti uliyosikia ni ya Mungu, na si maruweruwe yako tu kwa sababu pengine una matatizo ya akili.
 
Ndo nasema nawezaje kukuthibitishia kuwa ninaona ilhali wewe ni kipofu ndugu kiranga?

Pata macho kwanza Kisha nikuthibitishie kuwa RANGI ya bluu ikoje ndugu kipofu kiranga.
 
Kama mimi ni kipofu kweli, huo nao ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.

Angekuwepo, asingeumba ulimwengu ambao unawezekana kuwa na kipofu.

Hoja zako unaona zinatetea uwepo wa Mungu, lakini tukiziangalia kwa kina zinazidi kuthibitisha Mungu hayupo.
 
Back
Top Bottom