Infropreneur
JF-Expert Member
- Aug 15, 2022
- 9,830
- 20,686
Mungu mpumbavu kaumba binadamu wapumbavu wasio mwamini sawasawa na hiyo Zaburi yake(53:1).MPUMBAVU anazidi kujitutumua. Sawasawa na (Zaburi 53:1).
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mungu mpumbavu kaumba binadamu wapumbavu wasio mwamini sawasawa na hiyo Zaburi yake(53:1).MPUMBAVU anazidi kujitutumua. Sawasawa na (Zaburi 53:1).
Wapi hapo ulipothibitisha mkuu nipaone nimefatilia comment zote sijaona zaidi unarudia maneno yaleyale bila facts.Mimi nimethibitisha yupo Mungu yupo na ninaongea naye daily,
Wewe thibitisha Kuwa hayupo.
Sawa ndugu Kiranga
Mkuu,MPUMBAVU anazidi kujitutumua. Sawasawa na (Zaburi 53:1).
Hapo unamchulia,Sasa mimi mbona najiandaa kumsifu na kumtukuza Mama .
Sifa ziende kwa Mama.
(Zaburi 53:1)Mkuu,
Unajua unaweza kuogopa kuitwa mpumbavu kuliko unavyoogopa upumbavu wenyewe, na hilo litakufanya uwe mpumbavu zaidi?
Unataka nikupe fact ipi ikiwa hutaki kuamini nikuambiacho kuwa Mimi huongea na Mungu na kuisikia sauti yake?Wapi hapo ulipothibitisha mkuu nipaone nimefatilia comment zote sijaona zaidi unarudia maneno yaleyale bila facts.
Unajuaje kuwa aliyeandika hiyo Biblia hakuwa mjanja aliyejua kwamba wapumbavu wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa upumbavu wenyewe, na njia rahisi kabisa ya kuwapumbaza waamini Mungu yupo, wakati hayupo, ni kusema kwamba kitabu cha Mungu kimesema mpumbavu amesema hakuna Mungu?(Zaburi 53:1)
MPUMBAVU amesema moyoni mwake , Hakuna Mungu.
Nawe ndugu kiranga ni MPUMBAVU sababu hujakubali kuwa Mjinga ukamtafuta Mungu, unakimbilia kudai kuwa hayupo.
Rudi kuwa Mjinga tukufundishe na kukuthibitishia uwepo wa Mungu.
Wapumbavu walijiumba wenyewe?(Zaburi 53:1)
MPUMBAVU amesema moyoni mwake , Hakuna Mungu.
Nawe ndugu kiranga ni MPUMBAVU sababu hujakubali kuwa Mjinga ukamtafuta Mungu, unakimbilia kudai kuwa hayupo.
Rudi kuwa Mjinga tukufundishe na kukuthibitishia uwepo wa Mungu.
Mimi Mungu anaishi ndani yangu,Unajuaje kuwa aliyeandika hiyo Biblia hakuwa mjanja aliyejua kwamba wapumbavu wanaogopa kuitwa wapumbavu kuliko wanavyoogopa upumbavu wenyewe, na njia rahisi kabisa ya kuwapumbaza waamini Mungu yupo, wakati hayupo, ni kusema kwamba kitabu cha Mungu kimesema mpumbavu amesema hakuna Mungu?
Kama kusema Mungu hayupo ni upumbavu, mbona unapata shida sana kuthibitisha Mungu yupo?
Thibitisha Mungu yupo kwanza, halafu ndiyo useme kusema Mungu hayupo ni upumbavu.
Wewe hujathibitisha Mungu yupo, unakimbilia kusema mpumbavu kasema Mungu hayupo!
Mpaka sasa unapiga hadithi za imani yako tu.Mimi Mungu anaishi ndani yangu,
Ninaisikia sauti yake, nimethibitisha Hilo.
Kwangu Mungu Si Neno pekee nisomalo katika BIBLIA,
Mungu ni HALISI kabisa Kwangu, anaishi ndani yangu na ndani ya mamilioni ya wamwaminio.
Na funguo ya kumjua ni IMANI, wewe huwezi kujua haya niyasemayo usipokuwa na funguo hiyo iitwayo IMANI.
Karibu.
Mungu aliumba mtu mwenye akili na utashi wa kuamua kuwa na Akili au awe MPUMBAVU,Wapumbavu walijiumba wenyewe?
Mungu mpumbavu kaumba binadamu wapumbavu wasio mwamini, ilhali anataka aaminiwe sawasawa na Zaburi yake ya kipumbavu ( 53:1)
Mimi naisikia sauti ya Mungu na kuongea naye, hizo Si porojo, ni maisha yangu halisi.Mpaka sasa unapiga hadithi za imani yako tu.
Hujathibitisha Mungu yupo.
Thibitisha Mungu yupo.
Sio tu hujaweza kuthibitisha Mungu yupo, hata hiyo sauti hujaweza kuthibitisha kwamba unaisikia.Mimi naisikia sauti ya Mungu na kuongea naye, hizo Si porojo, ni maisha yangu halisi.
KAZI ni kwako kuthibitisha kuwa hakuna Mungu.
Karibu.
Ubarikiwe,Shukrani
Kwa hiyo Mungu aliumba binadamu wenye kuweza kuwa wapumbavu?Mungu aliumba mtu mwenye akili na utashi wa kuamua kuwa na Akili au awe MPUMBAVU,
Sasa wewe umechagua kuwa MPUMBAVU Kwa hiari Yako Sawa sawa na (Zaburi 53:1).
Yani kujamba ujambe wewe, halafu kazi ya kuthibitisha ushuzi sijajamba mimi unipe mimi?Thibitisha wewe kuwa sauti niisikiayo Si ya Mungu ndugu Kiranga.
Ndo nasema nawezaje kukuthibitishia kuwa ninaona ilhali wewe ni kipofu ndugu kiranga?Yani kujamba ujambe wewe, halafu kazi ya kuthibitisha ushuzi sijajamba mimi unipe mimi?
Kwanza thibitisha umesikia sauti.
Ukiweza hilo.
Thibitisha sauti uliyosikia ni ya Mungu, na si maruweruwe yako tu kwa sababu pengine una matatizo ya akili.
Kama mimi ni kipofu kweli, huo nao ni uthibitisho Mungu mjuzi wa yote, mwenye uwezo wote na upendo wote hayupo.Ndo nasema nawezaje kukuthibitishia kuwa ninaona ilhali wewe ni kipofu ndugu kiranga?
Pata macho kwanza Kisha nikuthibitishie kuwa RANGI ya bluu ikoje ndugu kipofu kiranga.