Kumbe ukiwa chawa unakula bata?MATAGA - Make Tanzania Great Again, waliiga hilo jina kutoka Marekani miaka ile ya Donald Trump aliyetengeneza kofia nyekundu za kampeni.
Wale walikuwa ni chawa sawa na hawa wa awamu ya sita na wengi wao wanaumia kuwaona hawa wa awamu ya Sita wakila bata muda huu, wanasahau maisha ni kupokezana kila kinachotokea.
Nilikuuliza maana ya uchawa ukanipa maana ya kwamba ni kusifia mazuri ya serikali Sasa unaleta mbwembwe zingine,maana nyingine ya uchawa ni nini?Hapa tunzungumzia hali ya uchawa kwa maana uchawa ni zaidi ya kusifia tu pale unapoona jambo zuri. Chawa ni mtu mzima aliyejipa kazi kusifia tu mwanzo mwisho na kupambana na anaye kosoa maana kwake mtu huyo ni hater.
Upambe wowote ule ukifanyika vizuri watu watakula sana bata. Ingawa inataka mtu kuwa na roho ngumu sana kuweza kuwa na tabia za Mwijaku. Anapenda sifa mpaka anakera.Kumbe ukiwa chawa unakula bata?
Sasa Mimi Huwa nasifu vitu concreteLengo kuu la machawa ni kusifia tu (ilimradi kusifia) na wanajitambulisha hivyo kama ulivyoona ila sasa anapotokea mwenye kukosoa inakuwa ni kama kutia doa kazi yao na hapo unakuwa hater kwao na ndipo huanza mashambulizi.
Ndio maana nashangaa hawa wanaojiita machawa wa kujitegemea et kwamba hafaidiki anafanya tu uchawa na hatarajii chochote kile kupata kwa huo uchawa.Upambe wowote ule ukifanyika vizuri watu watakula sana bata. Ingawa inataka mtu kuwa na roho ngumu sana kuweza kuwa na tabia za Mwijaku. Anapenda sifa mpaka anakera.
Geita hukujui?Punguza uchawa mkuu maana unakufanya utudanganye hapa.
Mfano, Hiyo Geita Airport uliyoizungumzia hapa, imejengwa wapi?
Kwani huko unakokusema pesa haziendi? Nikuoneshe zinavyoenda?Upigaj uendelee tu hamna namna watu tunajali matumbo yetu,. Pesa za ndege na SGR zingeenda ktk miundo mbinu ya maji na umeme, nchi ingependeza,,
Nchi ina vyanzo vya maji kede,, au upinzani utakuja kutatua haya?! 😂
Na wewe pinga pinga unaitwaje?Vyovyote vile ila bado ni chawa kama chawa wengine.
Mwambie Geita tuna Mallessa tu 😂, ukiondoa dhahabu,, tena mwambie ule uwanja wa mpira haujaisha,, bado tunachzea nyankumbu,,Hakuna sehemu ya Geita nisiyoijua. Hebu tueleze hapa huo uwanja umejengwa Kijiji au mtaa gani?
Mama ameshaweka pesa sio mda utaona utaona shughuli zinarejerewaMwanza Airport jengo la abiria ovyo limesahaulika. hapo ccm ina kazi ya kushawishi.
Kumbe ndivyo ilivyo!!!? Kutua na kupaa kwa ndege kubwa kunapendezesha sana mji, kila siku nilikuwa natamani kusikia neema ya Kiwanja cha Kisasa Moro.Nice . Ila nikwambie tu kwa case ya morogoro,haiwezi kuwa na uwanja wa ndege kwa matumizi ya uchukuzi wa umma kwa maana tayari morogoro na anga lake ni restricted military airspace.
Labda anamaanisha Iron Dome zetu ndiko zinakoishi kwa ajiili ya mpumbavu yeyote atakayetuchokoza.Naomba ufafanuzi kidogo hapa mkuu kwenye eneo la millitary airspace .....Navuta kitu kabisa