Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Konokono huwa anatembea pole pole lakini huwa anafika ni nadra sana kukuta mizoga yake barabarani lakini sasa yule mwenye kujiona kwamba ana mbio kubwa huyu ni mbwa barabarani mizoga yake haiishi

SIMBA MWENDA POLE NDIYE MLA NYAMA
 
Pole sana Steve
 

Pole sana mkuu
 
Wakati mwingine ukipata changamoto uwe unasema huenda ikapatiwa uvumbuzi.Hichi kitu kimeshakuwa cha public kunaguza hisia za wengi!
 
Marafiki zangu poleni na harakati za kuimaliza januari kihasi kwamba hamkutaka kabisa kupima kati ya masihara na hali halisi. Kiufupi nilihisi labda Shunie ni mtani wangu. Kuhusu Tumosa sina shaka kuwa ni mtani wangu. Na katika post yangu sijamlalamikia kabisa mtunzi wa adithi yetu pendwa kuwa katuweka arosto wala nini (pitieni mkasome tena) lakini nimeona jeshi lilivyoniangukia.
Kuhusu mie kutomalizia adithi ni kuwa ninapewa mamlaka hayo ya either kusimama kupost au kuendelea kutoka kwa mwandishi moja kwa moja. Ndio maana hadi namba za mtunzi nimewatumia zikisimama mpigieni
 
Eneo kama hili ukiweka masihara watu huchukia kwa sababu arosto cyo mchezo na pia riwaya yako hebu itolee mwongozo kuwa utakuwa unatuma baada ya miez mingapi hutolaumiwa
 
hadithi mkuu na sio adithi
 
Leo jmosi povu lile kafulie nguo[emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…