koncho77
JF-Expert Member
- Feb 26, 2014
- 7,789
- 10,388
Mbona mimi simfahamu yuko wapi na mimi nimfuate?Yani mkuu kule ndo umetukimbia umekuja kuwa teja kwenye hii thread?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbona mimi simfahamu yuko wapi na mimi nimfuate?Yani mkuu kule ndo umetukimbia umekuja kuwa teja kwenye hii thread?
Pole sana SteveHabari zenu wakuu. Ni siku tatu sasa sipo hewani si kwamba nimewasahau ila nilipotewa na simu yangu smartphone ambayo ndiyo natumia kuandikia simulizi na kutuma pia.
Kwa siku tatu sikuwa whatsapp (kwa wale wenye namba yangu wanajua), jamii forum wala insta.
Nashukuru leo nimepata simu ya kujishkiza hivyo naanzq kuandika upya. Imebidi pia niingie huku ili nijue niliishia wapi sehemu iliyopita. Nashukuru kwa uvumilivu
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Uwe unafikilia vya kuongea sio unaropokwa ningekuwa nakuja kulia lia huku mbona we story yako arosto mpaka leo na we ulitupa tusome
[emoji45] [emoji45] [emoji134]Mkwe anazingua huyo!!! Yeye anaona kwa wenzake kwake hapaoni ama kweli nyani haoni kundule, mtu katuwekea viporo mpaka vinaoza anakuja kuanzisha ngonjera hapa
[emoji3] [emoji3] [emoji3]Yani mkuu kule ndo umetukimbia umekuja kuwa teja kwenye hii thread?
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]Yani mkuu kule ndo umetukimbia umekuja kuwa teja kwenye hii thread?
Habari zenu wakuu. Ni siku tatu sasa sipo hewani si kwamba nimewasahau ila nilipotewa na simu yangu smartphone ambayo ndiyo natumia kuandikia simulizi na kutuma pia.
Kwa siku tatu sikuwa whatsapp (kwa wale wenye namba yangu wanajua), jamii forum wala insta.
Nashukuru leo nimepata simu ya kujishkiza hivyo naanzq kuandika upya. Imebidi pia niingie huku ili nijue niliishia wapi sehemu iliyopita. Nashukuru kwa uvumilivu
Yaan mkwe ye haoni kama uzi wake kautelekeza anakuja kuleta uchonganishi wake huku ndio mana Da vinci alikuwa anamtukanaMkwe anazingua huyo!!! Yeye anaona kwa wenzake kwake hapaoni ama kweli nyani haoni kundule, mtu katuwekea viporo mpaka vinaoza anakuja kuanzisha ngonjera hapa
Shangaa na weweYani mkuu kule ndo umetukimbia umekuja kuwa teja kwenye hii thread?
RIWAYA: Mifupa 206Mbona mimi simfahamu yuko wapi na mimi nimfuate?
Wakati mwingine ukipata changamoto uwe unasema huenda ikapatiwa uvumbuzi.Hichi kitu kimeshakuwa cha public kunaguza hisia za wengi!Habari zenu wakuu. Ni siku tatu sasa sipo hewani si kwamba nimewasahau ila nilipotewa na simu yangu smartphone ambayo ndiyo natumia kuandikia simulizi na kutuma pia.
Kwa siku tatu sikuwa whatsapp (kwa wale wenye namba yangu wanajua), jamii forum wala insta.
Nashukuru leo nimepata simu ya kujishkiza hivyo naanzq kuandika upya. Imebidi pia niingie huku ili nijue niliishia wapi sehemu iliyopita. Nashukuru kwa uvumilivu
Eneo kama hili ukiweka masihara watu huchukia kwa sababu arosto cyo mchezo na pia riwaya yako hebu itolee mwongozo kuwa utakuwa unatuma baada ya miez mingapi hutolaumiwaMarafiki zangu poleni na harakati za kuimaliza januari kihasi kwamba hamkutaka kabisa kupima kati ya masihara na hali halisi. Kiufupi nilihisi labda Shunie ni mtani wangu. Kuhusu Tumosa sina shaka kuwa ni mtani wangu. Na katika post yangu sijamlalamikia kabisa mtunzi wa adithi yetu pendwa kuwa katuweka arosto wala nini (pitieni mkasome tena) lakini nimeona jeshi lilivyoniangukia.
Kuhusu mie kutomalizia adithi ni kuwa ninapewa mamlaka hayo ya either kusimama kupost au kuendelea kutoka kwa mwandishi moja kwa moja. Ndio maana hadi namba za mtunzi nimewatumia zikisimama mpigieni
Ngoja niifuatilie
hadithi mkuu na sio adithiMarafiki zangu poleni na harakati za kuimaliza januari kihasi kwamba hamkutaka kabisa kupima kati ya masihara na hali halisi. Kiufupi nilihisi labda Shunie ni mtani wangu. Kuhusu Tumosa sina shaka kuwa ni mtani wangu. Na katika post yangu sijamlalamikia kabisa mtunzi wa adithi yetu pendwa kuwa katuweka arosto wala nini (pitieni mkasome tena) lakini nimeona jeshi lilivyoniangukia.
Kuhusu mie kutomalizia adithi ni kuwa ninapewa mamlaka hayo ya either kusimama kupost au kuendelea kutoka kwa mwandishi moja kwa moja. Ndio maana hadi namba za mtunzi nimewatumia zikisimama mpigieni
Leo jmosi povu lile kafulie nguo[emoji3] [emoji3] [emoji3]Marafiki zangu poleni na harakati za kuimaliza januari kihasi kwamba hamkutaka kabisa kupima kati ya masihara na hali halisi. Kiufupi nilihisi labda Shunie ni mtani wangu. Kuhusu Tumosa sina shaka kuwa ni mtani wangu. Na katika post yangu sijamlalamikia kabisa mtunzi wa adithi yetu pendwa kuwa katuweka arosto wala nini (pitieni mkasome tena) lakini nimeona jeshi lilivyoniangukia.
Kuhusu mie kutomalizia adithi ni kuwa ninapewa mamlaka hayo ya either kusimama kupost au kuendelea kutoka kwa mwandishi moja kwa moja. Ndio maana hadi namba za mtunzi nimewatumia zikisimama mpigieni
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]hadithi mkuu na sio adithi