SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
-
- #3,801
Tunaelekea kumaliza, usijali mkuu wangu.Duh!! Dadeki hii story nimeanza kuifuatilia mwezi wa 3 mwanzoni hadi saiv haijaisha tu,,,
Ifupishe bana iishe haraka maana inanifanya nimsahau hata wifi yenu.
Wifi yenu usiku ananigusagusa anataka mgegedo mi ananiona niko bize tu na simu angu nafuatilia hii story ***** hadi analia.
We steve wewe fanya kuimalizia bana wifi yako apate mgegedo.
Pole mkuu. ni muda sasa wa kuacha kutesa nafsi yako.Hhiii. Story nimeifuatilia hadi nimechoka aise
[emoji120] [emoji120] [emoji120]Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
Asante sana dume jeuriTumosa na shunie karibun
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza kama mimiNatamani haya Yangemkuta ngosha
Asante stevepol
Pole mkuu. ni muda sasa wa kuacha kutesa nafsi yako.
[emoji8][emoji8][emoji8][emoji8]Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
Akili fupi unayo wewe halafu,,, jiheshimu we mpuuzi,,, huu uzi sio wa kukupeana kashfa, nachangia ninachotaka na sijakuchangia wewe hivyo pita mbali na comment zangu,,, naweza kuombea yeyote nachotaka na mungu ndiye wa kunikosoa ila sio wewe mburullahAcha kuombea watu mabaya hivyo ni kuwa na akili fupi
Hahahaaa kweli mkuu Mimi ningefanya katafrija [emoji16][emoji16][emoji16][emoji16]dah, hiyo siku nitatamani kulia ila machozi hayatanitoka. huenda watu wakaingia mtaani kushangilia
Nyie watu shauri yenu ohoo mwezi wa nne huu aha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] umewaza kama mimi
Stive eeh tangaza stor bado ndefu maana huku mwishoni naona watu wanatoleana uvivuAkili fupi unayo wewe halafu,,, jiheshimu we mpuuzi,,, huu uzi sio wa kukupeana kashfa, nachangia ninachotaka na sijakuchangia wewe hivyo pita mbali na comment zangu,,, naweza kuombea yeyote nachotaka na mungu ndiye wa kunikosoa ila sio wewe mburullah
Umekua muungwana Sana aisee, asante kwa ku-respond, ukiendelea hv, soon utabadilisha historia ya maisha yako kama utani vile.. Hongera sana.. Tunaendelea na uvumilivu mpk mwisho..Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
Movie kwanza mzeeSteve, hii story daah!! Fanya umalize hiko kitabu tununue, Maana hadi hasira ujue, unakatishwa Utamu alaf haujui Steve atatupia tena lini muendelezo!!! Hii ni inadhihirisha una uwezekano mkubwa Sana. Hadi wazee wa kimya kimya tunaanza kufunguka, hebu Tupe bei ya hiyo kitabu kama kipo, Hata kama ni ktk soft copy tutanunua tu.
π π π ,Tivu hii movie haitakiwi kuisha,Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
Mkuu kumbe na wewe huku upo? Kweli hili ni anga la washenzi [emoji2]Stive eeh tangaza stor bado ndefu maana huku mwishoni naona watu wanatoleana uvivu