SteveMollel
JF-Expert Member
- Jul 12, 2015
- 8,797
- 25,177
- Thread starter
- #3,801
Tunaelekea kumaliza, usijali mkuu wangu.Duh!! Dadeki hii story nimeanza kuifuatilia mwezi wa 3 mwanzoni hadi saiv haijaisha tu,,,
Ifupishe bana iishe haraka maana inanifanya nimsahau hata wifi yenu.
Wifi yenu usiku ananigusagusa anataka mgegedo mi ananiona niko bize tu na simu angu nafuatilia hii story ***** hadi analia.
We steve wewe fanya kuimalizia bana wifi yako apate mgegedo.