Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Duh!! Dadeki hii story nimeanza kuifuatilia mwezi wa 3 mwanzoni hadi saiv haijaisha tu,,,
Ifupishe bana iishe haraka maana inanifanya nimsahau hata wifi yenu.
Wifi yenu usiku ananigusagusa anataka mgegedo mi ananiona niko bize tu na simu angu nafuatilia hii story ***** hadi analia.
We steve wewe fanya kuimalizia bana wifi yako apate mgegedo.
Tunaelekea kumaliza, usijali mkuu wangu.
 
Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
[emoji120] [emoji120] [emoji120]
 
Acha kuombea watu mabaya hivyo ni kuwa na akili fupi
Akili fupi unayo wewe halafu,,, jiheshimu we mpuuzi,,, huu uzi sio wa kukupeana kashfa, nachangia ninachotaka na sijakuchangia wewe hivyo pita mbali na comment zangu,,, naweza kuombea yeyote nachotaka na mungu ndiye wa kunikosoa ila sio wewe mburullah
 
Stive eeh tangaza stor bado ndefu maana huku mwishoni naona watu wanatoleana uvivu
 
Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
Umekua muungwana Sana aisee, asante kwa ku-respond, ukiendelea hv, soon utabadilisha historia ya maisha yako kama utani vile.. Hongera sana.. Tunaendelea na uvumilivu mpk mwisho..
 
Steve, hii story daah!! Fanya umalize hiko kitabu tununue, Maana hadi hasira ujue, unakatishwa Utamu alaf haujui Steve atatupia tena lini muendelezo!!! Hii ni inadhihirisha una uwezekano mkubwa Sana. Hadi wazee wa kimya kimya tunaanza kufunguka, hebu Tupe bei ya hiyo kitabu kama kipo, Hata kama ni ktk soft copy tutanunua tu.
Movie kwanza mzee
 
Mkuu, shida ni kwamba hii simulizi naiandika na kuituma papo hapo, alafu kwa sasa nitawaibia pesa zenu kwasababu inaelekea mwishoni. Najitahidi kutuma kila siku, hata hapa kesho na keshokutwa nitajitahidi kuandika na kuituma mapema, kama pia ikiwezekana mara mbili.
😀 😀 😀 ,Tivu hii movie haitakiwi kuisha,
 
Back
Top Bottom