Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Ahsante sana mkuu, tumekuwa wote toka mwanzo hadi mwisho.... ubarikiwe sana kwa kujitoa mda wako kuakikisha tunapata burudani........ hope we'll be together kwa hiyo simulizi mpya mwezi ujao.....[emoji122][emoji122][emoji122][emoji109][emoji109]
 
Akikujibu hilo swali na story itapungua ladha, subiri ikitoka, na yenyewe inaweza kuwa nzuri kama hii
Hapana ndugu, haiwezi pungua, nikitaja nijue ili in a simple labguage, mfano ni mapenzi, upelelezi au nini, si unajua tunatofautian katika upenzi wa vitu?
 
Mkuu hongera sana.
Kazi nzuri.
Mwanzo mzuri.
Nadhani tunakoelekea tutapata vitu kwa levo za Willy Gamba na Joram Kiango!!

Bado tuko pamoja!!
 
Asante kamanda , Hatimae tumehitimisha safari, nabuku nafasi ingine kwa hiyo ijayo na kama hutojali tuwekee pia huo mzigo ujao hapa Jf ,usisahau kunitag
 
Shukrani mkuu, ila naomba kukumbushwa hivi miriam alikua nani? Maana nimemsahau uhusika wake
 
Ingawa nilikuwa msomaji wa kimyakimya but nilikuwa naenjoy hasa simulizi hii. Shukrani za kutosha kwako Steve kwa kuamua kushare kipaji chako nasi katika jamvi hili. Ninachoomba simulizi hii isiwe ya mwisho kwako kushare nasi, endelea kutupa udambwidambwi kila upatapo muda. Gracie.
 
Shukrani mkuu, ila naomba kukumbushwa hivi miriam alikua nani? Maana nimemsahau uhusika wake
Alikuwa mke wa waziri aliyetorokea kwa bwana muuza bwimbwi huko arusha. Sasa jona akapewa kazi na waziri kumtafuta mke huyo maana Alikuwa anajua siri nyingi za waziri huyo.
 
Hatimaye......
Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku....big up sana Steve Mollel, Mungu akubariki sana
 
Back
Top Bottom