Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Mwanzoni hii simulizi ilikuwa inaenda kwa mwendo wa kunguru,,,
Saivi naona inaenda kwa mwendo wa kinyonga mzee.

Haya bana sina neno mie.
 
Jamani hili suala la ku-quote uzi mzima si huwa tunalikemea kila uchwao au ndio tumefikia kiwango hiki cha kutokuelewa!!!!

Mnakera kwa sisi tunaotumia simu.
Mbona mimi natumia simu lkn quote yake kwangu inaonekana robo page tu
 
Mbona mimi natumia simu lkn quote yake kwangu inaonekana robo page tu
Nafikiri kama unatumia updated app ya jf ndio ina minimize hiyo quote kuwa robo.

Ila kama hauja update app unatumia ya zamani, yenyewe inabeba lote kama lilivyo
 
  • Thanks
Reactions: ram
Jamani hili suala la ku-quote uzi mzima si huwa tunalikemea kila uchwao au ndio tumefikia kiwango hiki cha kutokuelewa!!!!

Mnakera kwa sisi tunaotumia simu.
Mkuu update app yako itakuwa ina-preview sehemu ndogo, unless uwe unatumia tecno au Huawei maana tatizo la hakuna space ni kama chakula cha mchana vile.

Utani tu mkuu, usimind.
 
Back
Top Bottom