Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Nilikuwa ndotoni..nikiota kuwa mzee baba..kingkong(pogba)..kafanyiziwa na makamo wa rais mama sa100..kachukua urais duh..kumbe hii ndoto ilipitia huku!..majanga!
 
Asante kamanda , Hatimae tumehitimisha safari, nabuku nafasi ingine kwa hiyo ijayo na kama hutojali tuwekee pia huo mzigo ujao hapa Jf ,usisahau kunitag
Acha kuendekeza dezo jiongeze ndugu
 
Daaah hii simulizi ni kiboko inaweza kutibu malaria,,

Hongera Steve tuko pamoja
 
Mambo ni motoooo ukitoa nyingine Fanya mpango walau uniliteral kidogo kama ni Kwa kitabu poa kama ni Kwa watsup poa ilomradi uvune kiasi mkuu
 
Ukipata muda mkuu Steve fanya mchakato wa kutumalizia Njia Nyembamba!!

Wakati tunaendelea na kitu cha May!
 
Mkuu umetisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…