Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

HAPO SASA KAMANDA NDO MAANA HUWA SIACHI KUNGALIA PAGE HII YAN KWA SABABU WW SI MZINGUAJI UNA UHAKIKA NA MAMBO UNAYOYAFANYA KAMA KAWAIDA YANGU SITI YA MBELE JONA KATA KICHWA YA MTU
 

Mkuu usinielewe vibaya, sikuwa na nia ya kukosoa au kukejeli kazi nzuri ninashukuru lakini kama ujuavyo tabia ya ulevi na kama ulivyosema umezoea kupiga huku, kule na huko kwa wakati mmoja hivyo pakitulia sehemu moja ndio inakuwa hivyo umenielewesha vizuri nimekuelewa na asante

Pia niwie radhi kama nimepotoka, tupo pamoja
 
Nashkuru kwa uelewa mkuu. Karibu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…