Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Mkuu steve kama hizo hati miliki ni gharama kukata,Tafadhali tujulishe wadau tukuchangie japo elfu 5 kila mmoja wetu,maana kiukweli tunaosubscribe kwenye uzi wa simulizi zako ni wengi,sio vibaya tukafanya mpango wa mchango wa elfu 5 kila mtu kumsupport mtunzi wetu ili aendelee kutufurahisha na kutufariji kama hivi.
Kweli kabisa mkuu
 
Back
Top Bottom