Malyakishu
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 1,968
- 2,347
Joana
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa tivu usijal tupo pamojaAsante Shunie. Naomba mkawe pia walinzi wako huko jamani.
JoanahSasa baada ya kutuma kila simulizi mara mbilimbili, nitatoa fursa kwa simulizi moja kutumwa tena baadae wakati wa usiku, hivyo tupige kura.
Andika JOANA ama WASHENZI kupiga kura yako!
Sent from my SM-J110F using JamiiForums mobile app
Kweli kabisa mkuuMkuu steve kama hizo hati miliki ni gharama kukata,Tafadhali tujulishe wadau tukuchangie japo elfu 5 kila mmoja wetu,maana kiukweli tunaosubscribe kwenye uzi wa simulizi zako ni wengi,sio vibaya tukafanya mpango wa mchango wa elfu 5 kila mtu kumsupport mtunzi wetu ili aendelee kutufurahisha na kutufariji kama hivi.
Ujue nimekusahau na hiyo avatar kila nikiiona najua new id nimekumbuka avatar yako flani ya yule mbabu wa kizunguWASHENZI
Ahsante sana man!We jamaa uko vizuri, nimeona si uungwana kusoma kimya kimya kila mara wacha sasa niseme. Well done man
ahahahah mimi nipo sana japo (nimehabaika) kwenye makapuku forumUjue nimekusahau na hiyo avatar kila nikiiona najua new id nimekumbuka avatar yako flani ya yule mbabu wa kizungu
Naaaaam!!steveeeyyyyyyyyyy
Mkuu, wa JOANA mmepwaya. Sema kwa kuwaonea huruma na Shunie, ntawafanyia mazingatio.nani mshindi?