Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kama ndo hivyo Wacha niinstall jf app kabisa ili niweze kupata notificationAnga la washenzi....inaonesha mambo bado kabisa
To a link mkuuKunastory nyingine kule tamu haswa inaitwa Bruno the fishman
Uko vizuri mama
He he ulikua hujui kutoa link sijui nani kakufundisha
Namimi sijui nifundisheHe he ulikua hujui kutoa link sijui nani kakufundisha
Unabonyeza juu kushoto kwenye vidoti vitatu mpaka kwenye copy URL unaiclick hiyo unaicopy halaf unaipaste ndio link inakujaNamimi sijui nifundishe