Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Wamemtafuta BC weeee
sasa wamempata na moto watauona hii ni zamu yao.
Kinoo uliona kama unatengwa sasa huu ndio muda wako lazima ujumuishwe
 
Mmh! Kinoo atanowa hapo....
Hayatabiriki.....
Ila kuna mbuyu utang'oka na kuwacha maumivu hata kwa mshindi....
 
Back
Top Bottom