Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Anga la washenzi na Joana anaona kitu usiku

Views (kutazamwa): 366,600's

Replies (majibu): 3000's.


Nyuzi ya burudani inayotrend kuliko zote. Ahsanteni wapenzi wasomaji wangu.
Habari ndo hiyo Stivu hii story ni mususu kila ikikaribia kuisha vinaibuka vitu vipya, big up braza.
 
Nina uhakika steve ni mkali kuliko waandishi wote kwa sasa lbda kwa wakati ule ungeweza kumlinganisha na Elvis Musiba peke yake..maana kuna vipande vinahit mpaka nywele zinasisimka..ukiona hali hiyo ujue..mwandishi ni kiboko!
 
Back
Top Bottom