Angalau hivi sasa wanawake wa miaka 30+ wameanza kujitambua

Naona Umetoa ya Moyoni😁😁 pole yalio kukuta, siyo wote wapo ni wachache tu. Kuhusu huruma hapo ni uongo mbona mpo wengi sana na wengi wenu mnajiuza Sasa nijitilishe huruma gani na wakat Hadi wa Buku jero wapo nakula ukigom naenda kwa mwingine 😁😁
 
Muda unamajibu mengi sana
 
Ahsante kwa taarifa na mambo yao waachie wenyewe...
 
Wambie wasinishobokee mi Sina nguvu za kiume mkuu make wananizonga sana🤣🤣🤣🤣🤣
 
Personal attacks kama kawaida yenu
 
[emoji23][emoji23][emoji23] Namanyere kubwa wa sehemu gani? au Ntatumbila
 
😅🤣🤣🤣🤣😂😂😂 nimecheka sana.
 
😅😅😅Law of demand bidhaa ikishakosa soko haihitajiki sokoni
 
Miaka 30 ndo tunda limekomaa na kuiva vizuri!! Chini ya hapo bado vinanuka maziwa ya mama mdomoni!! Ukikigusa kidogo kinaruka, lakini 30+ ukigusa kidogo anajisogeza zaidi hadi raha!! Ndio maana siku hizi vijana wanapenda matunda yaliyokomaa!! Umri ni namba tu!!
 
Ukisha-comment usirudie tena tafadhali ili comments za wanawake wengine wa 30+ ziweze kuonekana na mimi.
 
Nina 29 mwakani 30 na sina pressure, na bado nanata ukipishana namm utajiuliza huyu ninani kwani[emoji23]Sipo kinyonge eti nisalimie ovyo kutafuta wanaumee. Looh!!!
Ngoja ufike 40 years hujaolewa, tuone utakuwa unamnatia nani, utaomba uolewe hata na mzoa taka taka, kalaghabaho.
 
We utakuwa over 30 afu hujaolewa, siyo kwa povu hilo.

Sisi paipu tutaendelea kuwapiga, na kuoa tutachagua mmoja mwenye sifa ya wife material, mwanaume kukaa muda mrefu bila kuchakata ni ngumu, tutawapiga paipu wakati huo tunasubiri kuoa.
 
Halafu hawa wanawake aliyewadanganya kuolewa ndo kilele cha mafanikio, halafu wanapenda harusi kuliko ndoa, tafuteni hela, acheni stress za kutokuolewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…