Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kweli ujinga ni kipaji na ndugu umebarikiwa.Nikadhani kasema mwenye mamlaka juu ya viumbe hai vyote ulimwenguni kumbe ni huyu huyu Binadamu tu sawa na yule aliyesema kuwa Watu flani ni Mbumbumbu?
Haina mashiko yoyote kabisa hii mada.
Wanaongoza ligi na hawana habari ya kukata mauno 😃😃😃😃😃Wale vyura wamatopen wanasemaje ?.
Kweli ujinga ni kipaji ndugu umebarikiwa kipaji iko.Nikadhani kasema mwenye mamlaka juu ya viumbe hai vyote ulimwenguni kumbe ni huyu huyu Binadamu tu sawa na yule aliyesema kuwa Watu flani ni Mbumbumbu?
Haina mashiko yoyote kabisa hii mada.
Kesho keshokutwa msishangae kumuona Sadio ametupia jezi ya Simba akiwa huko huko kwao.Sadio Manè just posted this video of Pape Sakho dancing in Senegal’s camp with the caption: “Simba SC look at your player become a dancer.”
Yes ni kweli kabisa hata jana matokeo ya Poll kumuhusu Chama yamedhihirisha hilo.Simba ni next Level. Nina uhakika 101% haijui Utopolo.

Wewe umeona Sakho kucheza, wenye upeo mkubwa wameona zaidi ambavyo hata ukijulishwa hutaelewa (maana ni kama umeingia pango lenye giza nene). Kila mtu abaki na upeo anaoufikia 🤣🤣🤣Kipi cha ajabu kwenye kucheza? Acheni hizo
Jezi ya Liverpool tu hawezi vaa mashabiki kuna haja ya kuelimishwaKesho keshokutwa msishangae kumuona Sadio ametupia jezi ya Simba akiwa huko huko kwao.
Basi kuna watu wamenuuuna [emoji1787][emoji23][emoji1787]
Aliyekuambia Simba inazuia mafanikio ya mtu nani matako wewe. Kama itakuwa ni mlango wake wa kutokea mwache aende kadri Mungu atakavyomjaalia. Kwa kiwango cha Sakho na umri wake kumbania ni upunguani.Nimependa promotion techniques za Wakala wa Sakho...
Madunduka kwa kuthibitisha Udunduka wao wala hawajui kwamba hapo wanatafutiwa namna ya kupigwa na kitu kizito kichwani...
Just imagine,
-Huyo Sakho ni Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal...
-Sadio Manne anafamiana vizuri sana na Sakho, hadi kum-post huwa anam-post!!
Madunduka yakiona hivyo lazima yaingie bila kufikiria mara mbili kwa sababu nyuma ya pazia watakuwa wameambiwa Newcastle na wenyewe wanamtaka Sakho. Na kwa promo hizi, it's a matter of time kabla Sakho hajawa ndie Mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi NBCPL!
Kinyume cha hapo, anatafutwa Famba mwingine wa kupigwa na kitu kizito somewhere else... that's what I love about West Africa-- very fraud!
Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita pale Udundukani kulikuwa na Mchezaji mmoja kutoka Liberia akiitwa William Fanbula na alikuwa amekulia kuti kavu kama labda ilivyo kwa watu kama akina Tuisila pale Yanga!
Sasa Liberia walikuwa na Mechi na Taifa Stars na enzi zile George Weah alikuwa wa moto kweli kweli pale Millan! Khee! Eti kwenye Press George Weah bila aibu akasema hata yeye Weah haingii kwa Fanbulla linapokuja suala la kutandaza ngozi!
Fanbula akaongezewa mkataba!!
JIHESHIMU, kwa sababu kama unajifanya unazijua shari watu tunaziweza kweli kweli na wala sio hizo za kuigiza!!Aliyekuambia Simba inazuia mafanikio ya mtu nani matako wewe. Kama itakuwa ni mlango wake wa kutokea mwache aende kadri Mungu atakavyomjaalia. Kwa kiwango cha Sakho na umri wake kumbania ni upunguani.
Mbaya zaidi, Wadhamini wenyewe ni Wachezeshaji wa Kamali wakati imani ambayo ipo kwenye Ramadhani yenyewe inapinga mambo ya kamali!!Inakuwaje tunaojihita wa KIMATAIFA kwenye tangazo letu la kuwatakia Waislamu Ramadhani Kareem tumeweka majina ya WADHAMINI wetu?
View attachment 2562526
View attachment 2562527
Tuache ushamba.