Angalia alichopost Sadio Mane kuhusu Sakho, awaambia "Simba angalieni mchezaji wenu"

Angalia alichopost Sadio Mane kuhusu Sakho, awaambia "Simba angalieni mchezaji wenu"

Ndio kusema timu yetu Roaso Kumamoto hajawahi kuisikia!
 
Mbaya zaidi, Wadhamini wenyewe ni Wachezeshaji wa Kamali wakati imani ambayo ipo kwenye Ramadhani yenyewe inapinga mambo ya kamali!!

Dunduka is always Dunduka!!
Nimeshangaa sana.
 
JIHESHIMU, kwa sababu kama unajifanya unazijua shari watu tunaziweza kweli kweli na wala sio hizo za kuigiza!!
Madunduka kwa kuthibitisha Udunduka wao wala hawajui kwamba hapo wanatafutiwa namna ya kupigwa na kitu kizito kichwani...
Kama unajiweza tuendelee tu. Wewe si una haki ya kutukana wengine. Umetuita kila aina ya majina ya kipuuzi halafu umeona matako yako ni mali sana
 
Kama unajiweza tuendelee tu. Wewe si una haki ya kutukana wengine. Umetuita kila aina ya majina ya kipuuzi halafu umeona matako yako ni mali sana
Nimekutukana wapi?1

Narudia, acha kuigiza shari wakati shari HUZIWEZI
 
Nimependa promotion techniques za Wakala wa Sakho...

Madunduka kwa kuthibitisha Udunduka wao wala hawajui kwamba hapo wanatafutiwa namna ya kupigwa na kitu kizito kichwani...

Just imagine,

-Huyo Sakho ni Mchezaji wa Timu ya Taifa ya Senegal...
-Sadio Manne anafamiana vizuri sana na Sakho, hadi kum-post huwa anam-post!!

Madunduka yakiona hivyo lazima yaingie bila kufikiria mara mbili kwa sababu nyuma ya pazia watakuwa wameambiwa Newcastle na wenyewe wanamtaka Sakho. Na kwa promo hizi, it's a matter of time kabla Sakho hajawa ndie Mchezaji anayelipwa pesa nyingi zaidi NBCPL!

Kinyume cha hapo, anatafutwa Famba mwingine wa kupigwa na kitu kizito somewhere else!! Na wakipata Famba mwenye Mkwanja MREFU ZAIDI, Sakho hataondoka hadi anamaliza mkataba wake kisha huyooo, as a Free Agent... that's what I love about West Africa-- very fraud!

Nakumbuka miaka kadhaa iliyopita pale Udundukani kulikuwa na Mchezaji mmoja kutoka Liberia akiitwa William Fanbula na alikuwa amekulia kuti kavu kama labda ilivyo kwa watu kama akina Tuisila pale Yanga!

Sasa Liberia walikuwa na Mechi na Taifa Stars na enzi zile George Weah alikuwa wa moto kweli kweli pale Millan! Khee! Eti kwenye Press George Weah bila aibu akasema hata yeye Weah haingii kwa Fanbulla linapokuja suala la kutandaza ngozi!

Fanbula akaongezewa mkataba!!
Hii porojo itakupa unafuu wowote kwa maumivu uliyopata?
 
Nimekutukana wapi?1

Narudia, acha kuigiza shari wakati shari HUZIWEZI
Najua umenielewa sana, jiheshimu tukuheshimu. Jenga hoja bila kashfa tofauti na hapo tutaenda na wewe sawa tu. Tambua huna haki ya kutukana wengine
 
Hii porojo itakupa unafuu wowote kwa maumivu uliyopata?
SRIOUSLY? Maumivu gani?! Kwanza ningekuwa Kolo ndo ningepata maamuvi kwa sababu ningejua tukishindwa kuongoza mzigo, kwa promo hizi lazima atambae!

Na hapa narudia, kwa tabia za Wachezaji wa Africa Magharibi, mkishindwa kuongeza mzigo jamaa anatambaa baada ya kumaliza kwanza mkataba na hamtapata hata sent 5!

Nakukumbusha tu, Wakala wa Sakho ndo Wakala wa Azizi Ki ambae na yeye alimaliza kwanza mkataba na ASEC kisha huyooo, akatambaa bila ASEC kufaidika na mauzo yake!! In short,huwa wanakusudia ku-take advantage ya transfer fee!

All in all, Sakho hanitishi sana, kwahiyo atoke ama asitoke kwangu poa lakini kama ningemuona tishio, ningetamani sana mambo yake yamnyokee ili asepe kama ilivyokuwa kwa Konde Boy... nothing personal bro, it's soccer!
 
Najua umenielewa sana, jiheshimu tukuheshimu. Jenga hoja bila kashfa tofauti na hapo tutaenda na wewe sawa tu. Tambua huna haki ya kutukana wengine
Narudia, acha kuigiza shari wakati HUZIWEZI! Na ungejua kuna kitu kinaitwa hoja usingeanza na matusi!!!
 
Ili nalo ni moja ya kombe la simba, mwaka huu simba watavunja record kubeba makombe mengi
 
Aliyekuambia Simba inazuia mafanikio ya mtu nani matako wewe. Kama itakuwa ni mlango wake wa kutokea mwache aende kadri Mungu atakavyomjaalia. Kwa kiwango cha Sakho na umri wake kumbania ni upunguani.
Haya majamaa yanachukia sana mafanikio binafsi ya wachezaji, ndiomaana hata Feisal yamemtolea macho hovyo bila kujali mustakabali wake kuwa hawataki tena.
 
Kupostiwa ni kawaida Sana na ni ushamba kushangilia eti kisa ni mchezaji wa Simba na Yanga
Tujitahid kufocus kwenye malengo yetu ya kimataifa ili club zetu zijulikane kimataifa zaidi.
Siku Messi akimposti mayele au chama si tutatembea uchi kushangilia.
 
Haya majamaa yanachukia sana mafanikio binafsi ya wachezaji, ndiomaana hata Feisal yamemtolea macho hovyo bila kujali mustakabali wake kuwa hawataki tena.
Bora ungekaa kimya ili ufiche upumbavu wako!
 
Back
Top Bottom