Pre GE2025 Angalia CCM jinsi wamemtuma Kijakazi Yunus Kumhoji Tundu Lissu kwa Kivuli cha Clouds Media

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla, wakati na baada)
Mbowe sasa kichwa kinamuuma sana katumia pesa nyingi sana kununua uenyekiti huu ikitokea ashindwe huenda akajinyoga

Hela za Abdul na Mama yake hizo.

Huoni dalali Wenje yuko busy....!?
 
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Ila na hicho kituo ni taka taka ,imekuaje wampe kilaza kama huyu kipind Cha maana kama walipanga kufanya destruction Kwa Lissu? Kilaza mwenyew labda kuimba ihena ihena
 
Lissu ana moyo sana kumjibu mpumbavu kama huyo mi ningemwambia anyanyuke aondoke.

Yani we mtangazaji unaeuliza maswali ndo unapanic kuliko unaemuuliza maswali sasa umefata nini kwake? Au unahamu ya kutiwa makofi
Kalidhani kanakwenda kumhoji Dr. Nchimbi ambako maswali na majibu yanapangwa kabisa ikiwemo na pongezi kwa Dr. Samia.
 
Tatizo la mishahara.midogo linafanya.watu.wenye. akili.kubwa kutotaka kuajiriwa.na.media.
Kija yunus ilifaa.nafasi yake.arudi Barbie kabaye au Barbara Hassan wale kidogo shule na akili.wanayo.

Unaendaje kwenye interview hujajiandaa. Si bora.angekaa kimya tuu.

Lissu anawaletea listeners wakutosha. Yaani wakitangaza lissu tuu utaona statistics za hits. Ila kija.ndio.maana na.uchawa wote.kwa majaliwa hata u.DC hawezi kupewa hana akili.

Hawa ndio.wanapewa vyeo wanafanya nchi hii isipige hatua hawana akili
 
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Akakutana na super intelligent man Tundu Lissu, kajikuta anaaibishwa mara mbili.

Hii ni aibu kwa Clouds Media Group na aibu kwa CCM, na mtangazaji mwenyewe Kwa kukosa weledi
 
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Clauds media wanapaswa kuja hadharani na kutuomba radhi kwa kupeleka muandishi mjinga na mpuuzi kama huyo mwanamke aliyemuhoji Lissu. Kitu pekee alichokuwa nayo huyo mwanamke ni kubishana tu.

Yaani mtangazaji gani hajui kutengeneza swali, hana details, hana updates, hajui kutengeneza kona ya kumbana mtu.
 
Na muda mwingi alikuwa anachati tu kwenye simu nafikiri alikuwa anapokea maelekezo toka kwa guluguja Amos Makalla ndiyo maana alikuwa hafuatilii majibu ya maswali aliyokuwa anamuuliza Lissu.
 
Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,

Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Clouds imemtoa wapi Kilaza huyu hata haelewi anachouliza.
Huyu wangempeleka akawahoji kina Chino kidd na misso misondo
 
Nashauri kwamba Tundu Lisu ahojiwe na Pascal Mayalla tu kwa sababu mayalla yuko very professional na busara zimemtapakaa mwili mzima.

Wengi wenu mtanibishia lakini hivyo ndivyo inavyotakiwa.
 
Back
Top Bottom