The Khoisan
JF-Expert Member
- Jun 5, 2007
- 16,434
- 14,547
Mbowe sasa kichwa kinamuuma sana katumia pesa nyingi sana kununua uenyekiti huu ikitokea ashindwe huenda akajinyoga
Hela za Abdul na Mama yake hizo.
Huoni dalali Wenje yuko busy....!?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mbowe sasa kichwa kinamuuma sana katumia pesa nyingi sana kununua uenyekiti huu ikitokea ashindwe huenda akajinyoga
Broo upo sahihiHuyu dada hii siku hatoisahau maisha yake yote ya uandishi wa habari.
Ila naona amefeli si kwasababu ni incompetent ila alikuja special kufanya character assassinations kwa Lissu ila amegonga mwamba
Ng'wanokotakataka yako hiyo
Ila na hicho kituo ni taka taka ,imekuaje wampe kilaza kama huyu kipind Cha maana kama walipanga kufanya destruction Kwa Lissu? Kilaza mwenyew labda kuimba ihena ihenaNimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Hawa wanaume wanafiki kwel wamemuacha mtot wa kike aibike mwenyewNimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Kamuacha zivu njeeeelissu kamvua kyupi asee
Kalidhani kanakwenda kumhoji Dr. Nchimbi ambako maswali na majibu yanapangwa kabisa ikiwemo na pongezi kwa Dr. Samia.Lissu ana moyo sana kumjibu mpumbavu kama huyo mi ningemwambia anyanyuke aondoke.
Yani we mtangazaji unaeuliza maswali ndo unapanic kuliko unaemuuliza maswali sasa umefata nini kwake? Au unahamu ya kutiwa makofi
Akakutana na super intelligent man Tundu Lissu, kajikuta anaaibishwa mara mbili.Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Clauds media wanapaswa kuja hadharani na kutuomba radhi kwa kupeleka muandishi mjinga na mpuuzi kama huyo mwanamke aliyemuhoji Lissu. Kitu pekee alichokuwa nayo huyo mwanamke ni kubishana tu.Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
Umefanya jambo la maana sana kumktaa shetani na mambo yake yote.Nashukuru nimeachana na CCM na akili zangu zinazidi kurejea
Na muda mwingi alikuwa anachati tu kwenye simu nafikiri alikuwa anapokea maelekezo toka kwa guluguja Amos Makalla ndiyo maana alikuwa hafuatilii majibu ya maswali aliyokuwa anamuuliza Lissu.Clauds media wanapaswa kuja hadharani na kutuomba radhi kwa kupeleka muandishi mjinga na mpuuzi kama huyo mwanamke aliyemuhoji Lissu. Kitu pekee alichokuwa nayo huyo mwanamke ni kubishana tu.
Yaani mtangazaji gani hajui kutengeneza swali, hana details, hana updates, hajui kutengeneza kona ya kumbana mtu.
HahahaaaaNashukuru nimeachana na CCM na akili zangu zinazidi kurejea
Clouds imemtoa wapi Kilaza huyu hata haelewi anachouliza.Nimeangalia Mahojiano ya Tundu Lissu na kipindi cha Clouds 360,
Niseme tu! Mtangazaji Kija Yunus ni Muandishi wa Habari wa hovyo Kwelikweli, Kwa Akili Zake Ndogo Hizi Sijui Aliwezaje Kupata Kazi Clouds Media Tena Akaaminiwa Na Kupewa Kipindi Cha Asubuhi.
View attachment 3203643View attachment 3203644
View attachment 3203645
View attachment 3203646
😂 huyo dada ni tabularasa.Hahahahah Ila LISSU, Et Nyie mnauliza maswali ,Mimi majibu🤣🤣🤣
Kmmke walahiii huyo demu Nahisi alivyotoka hapo break ya kwanza ni choon Kunya akihisi mav yamembana, na alipofika choon akashangaa mavi hayatoki.
Yaan nikm vile unavyosubiria majib ya HIV.
Hakika huyu sijui alisomea hiyo kazi au ndio miongoni mwa wale waropokaji walioaminiwa, aibu yake na clouds media.Haka Kasichana Kako very unprofessional.... haya ni matokeo ya kupeana kazi kwa kujuana.