Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

Inaweza ikawa ni njia pia ya  kuibua ubadhirifu kama upo! Sidhani kama Mhe amslifungua, ila anashukuriwa. Hivyo, mada husika inaweza toa nafasi ya ufuatiliwaji na hatua!
Wale waliojenga jengo la tanesco kwa Tsh million 250+ huko Kyerwa na waliojenga kibanda cha mlizi kwa Tsh 11 million unaweza kuwa na kumbukizi sahihi kwamba baada ya huyo uliyemuita muheshimiwa kuzikataa kazi zao na kuagiza uchunguzi wapo jela gani au kesi zao zipo mahakama gani kwa sasa?
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji119]
 
Na Rais anaambiwa bei hiyo na yeye anakubali tu? Hajui kusoma na hata picha haoni?! Duuuh
 
Bilioni 7 zingeweza kujenga daraja la zege, la kudumu na chenchi kubaki kwa maendeleo mengine! Hilo ni daraja la muda ambalo life span yake haitazidi miaka 25 kabla kudai matengenezo!
Mwaka huu huu hilo watu watauza screpa lote hilo
 
Kwa navyojua gharama za madaraja plus huo urefu hapo hata Kama Kuna Upigaji but sio wa kiwango hicho maana Upigaji kwenye miradi hasara ya civil works ni lazima.

Bado upigaji ni mkubwa hapo mkuu sababu hizi angalia entrance za daraja hazina hata kipande cha lami ni vumbi tu hafu angalia njia waliotengeneza daraja ni local hamna crane iliyotumika fuatilia, angalia abutments zake mwisho hiyo sio zenge(concrete) ni chuma(truss) billion 7.2 nyingi haina hata mataa inawezekana pia ni single lane kama sijakosea
 
Hili nalo nendeni mkalitizame
 
Daraja hili "halijajengwa" na rais dkt. Samia haya ni matunda ya mtangulizi wake. Bajeti ya kwanza ya awamu hii ndio kwaanza ipo nusu, haya yalikuwepo na kutekelezwa kabla yake, kama kuwasifu tuwasifu walioingia mkataba wa ujenzi huu.
 
Akikubali sifa akubali na matokeo yake,binafsi naamini Ni gharama halisi Upigaji upo Ila sio kwa kiwango hicho..

Hapa Meneja wa TanRoads Pwani kakalia kuti kavu
 
BOQ,Michoro, miongozo ya ujenzi huu, chanzo cha fedha ni kipi, akaunti iliyotuma fedha, akaunti iliyopokea fedha, mkataba wa kazi na kampuni iliyofanya utekelezaji wa mradi.
Tumepigwa hapa lazima tracking ifanyike wakuu kupata value for money including probes
 
pwani na kusini mwa tanzania watu wake wapo chini sana kifikra.

ndio sehemu ambazo ccm hujipatia kura nyingi sana wakati wa chaguzi.
 
Daraja hili "halijajengwa" na rais dkt. Samia haya ni matunda ya mtangulizi wake. Bajeti ya kwanza ya awamu hii ndio kwaanza ipo nusu, haya yalikuwepo na kutekelezwa kabla yake, kama kuwasifu tuwasifu walioingia mkataba wa ujenzi huu.
Hilo halijajengwa na mkandarasi ndugu, ni Tarura.., sasa Tarura watueleze pesa nani katafuna
 
pwani na kusini mwa tanzania watu wake wapo chini sana kifikra.

ndio sehemu ambazo ccm hujipatia kura nyingi sana wakati wa chaguzi.
Ni shida sana hawa ndugu zetu sijui hawajui maana ya maisha mazuri?! Halafu Rufiji ingeweza kuwa mlishaji mzuri sana wa mkoa wa Dar es salaam. Vijana wa kule sifa kubwa kuoa na kuolewa na kuchezwa mtu yupo tayari kutoa akiba yake yote ili kumfundisha binti kumkatia mauno mume. Unaweza kuwaza mtu yupo tayari kufanya sherehe mtoto wake akifeli shule. Elimu kule ipo chini sana. Hawa Waarabu wanaojenga misikiti watoe hamasa pia wajue na elimu dunia sio tu elimu akhera.
 
Hili nalo nendeni MKALITIZAME
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…