Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

Nyie endeleeni kuweka joking wakati watu wanatumbua pesa ambazo zinapaswa kujemga misingi kwa ajili ya watoto wetu, Wabongo ni watu wajinga sana, pesa zinapigwa na comment za watu unakuta ni asilimia 99 zemejaa utani tupu
 
Salaam wakuu,

Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona Uwezo wake wa juu wa kupambana na Ufisadi. Huu ndo uwezo wake wa juu wa utendaji ambao Mungu kamjalia.

Hii imepelekea Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi lenye urefu wa mita 61 linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 7.2.

Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika wewe ni kielelezo cha Wanawake.

Kazi iendelee.

Asitokee mtu akamkosoa rais kwa utendaji huu. Tumpigie makofi tu kama anavyotaka. Kama Watawala wanaafiki hi kitu inatusaidia kujua akili zao na madhumuni ya kugombania vyeo.

Hadi sasa sijajua Watanzania wana uhusiano gani na Mungu. Hadi tunapata Viongozi/Watawala wa hivi
View attachment 2430635
View attachment 2430613View attachment 2430614
Waziri wa Ujenzi ni Mzanzibar na Zanzibar hakuna hata mfereji wa kujenga daraja......
 
Kwani anayeipiga mwingi..... Yeye hanasemaje, kuusiana na daraja lenyewe ya 7.2bn ambayo kwa ufupi ni ..... witch cage.... Hii wanajeshi wanatengenezaga kwa ajili ya dharura ,,,,
Kwamba uko Lindi Kuna dharura tuu.... , itajengwa baada ya ukombozi ....Duuh, nchi ngumu sana
 
Bilioni 7 zingeweza kujenga daraja la zege, la kudumu na chenchi kubaki kwa maendeleo mengine! Hilo ni daraja la muda ambalo life span yake haitazidi miaka 25 kabla kudai matengenezo!
Mainjinia uchwara hawakosekani
 
Salaam wakuu,

Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona Uwezo wake wa juu wa kupambana na Ufisadi. Huu ndo uwezo wake wa juu wa utendaji ambao Mungu kamjalia.

Hii imepelekea Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi lenye urefu wa mita 61 linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 7.2.

Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika wewe ni kielelezo cha Wanawake.

Kazi iendelee.

Asitokee mtu akamkosoa rais kwa utendaji huu. Tumpigie makofi tu kama anavyotaka. Kama Watawala wanaafiki hi kitu inatusaidia kujua akili zao na madhumuni ya kugombania vyeo.

Hadi sasa sijajua Watanzania wana uhusiano gani na Mungu. Hadi tunapata Viongozi/Watawala wa hivi
View attachment 2430635
View attachment 2430613View attachment 2430614
Hizo ni gharama za daraja pamoja na barabara ya Mohoro- Mbuchi- Mwera, yenye urefu wa km 35 na sio daraja peke yake.
 
Mama yetu Sa100 tunakupenda ila
Punguza upole, tazama pesa za wadanganyika zinavyoliwa kizembe.
Maneno ya kutumbua au kufukuza kwann kwako hayatumiki so long haujamuonea mtu?!.
Soko la machinga pia Dodoma hali ni hiyohiyo upigaji mkubwa umefanyika.

Usipochukua hatua wananchi wanaona kama unabariki hali hiyo.
 
Mbona Zanzibar pesa hazipigwi
 
Wakati wa mwanzoni mwa urais wa Magufuli watu walisema Mzee wa msoga anaongoza nchi kwa remote wakati huo Magufuli hata hajaizoea vizuri Ikulu, ila baadaye sasa tukaanza kuona Magufuli akiongoza nchi yeye kama yeye na si kwa remote ya kutoka msoga na mwishowe ikaonekana Magu na Jk haziivi.

Mimi naamini Samia bado hajakata mawasiliano ya remote.
 
Salaam wakuu,

Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona Uwezo wake wa juu wa kupambana na Ufisadi. Huu ndo uwezo wake wa juu wa utendaji ambao Mungu kamjalia.

Hii imepelekea Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi lenye urefu wa mita 61 linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 7.2.

Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika wewe ni kielelezo cha Wanawake.

Kazi iendelee.

Asitokee mtu akamkosoa rais kwa utendaji huu. Tumpigie makofi tu kama anavyotaka. Kama Watawala wanaafiki hi kitu inatusaidia kujua akili zao na madhumuni ya kugombania vyeo.

Hadi sasa sijajua Watanzania wana uhusiano gani na Mungu. Hadi tunapata Viongozi/Watawala wa hivi
View attachment 2430635
View attachment 2430613View attachment 2430614
NCHI YA WAPIGAJI HONGERA CCM
 
Huku ni kwetu kwa 100%, hakuna watu wajinga na wanapigwa hela kama watu wa Rufiji wao wanajiona wanajua kila kitu. Ni watu wa hovyo sana hii jamii. Wana maisha duni sana na wana ardhi nzuri nenda ukaone maisha yao. Sasa hilo daraja wanaona kama vile wametengenezewa kitu cha maana. Baranbara zao zipo duni sana.

Nenda pale Temeke Sudan kaangalie mabasi yao ya kwenda Rufiji ni moja tu ndio roho yao basi la Akida, hawa watu wanatakiwa kupatiwa elimu ya mageuzi ya kifikra kubwa sana. Unatoka Dar es Salaam pale Temeke mpaka kuingia Rufiji kule Mloka ni siku nzima. Huyu Mchengelwa yupo na Wabunge wa huko wapo kimya. Hili daraja ni kituko cha mwaka. Wanasiasa hasa CCM wameshaona wakazi wa Rufiji hawafai kupewa maendeleo.
Mzee rufiji sio mloka pekee...

Huko mloka hakuna basi moja pekee kuna tokyo takara za mpare zinaenda na kurejea dar... na stand ipo pale mbagala na sasa imeamishiwa stand mpya huko maeneo ya kijichi kama sikosei

Piq rufiji ukiqcha mloka kuna ikwiriri ambapo kuna magari kila dakika kuanzia saa kumi na moja asubuhi mpaka saa mbili usiku kwenda na kurudi dar

Pia kuna muhoro ambayo ni rufiji pia kuna magari mengi ya kwenda huko kama ilivyo ikwiriri

Rufiji makao makuu yake ni utete ambapo pia kunq magari ya kwenda huko kupitia nyamwage na magari yapo kuanzia asubuhi mpaka mchana saa tisa mwisho kutoka dar utete na utete dar

Baada ya hapo ndio kuna vijiji sasa ambayo vina pakana na hifadhi ya rubada na hifadhi zingine za tfs pamoja na nyerere ambayo zamani ilikuwa selou

Ukiachilia hayo kuna maendeleo yana pigwa sana na miradi mbalimbali ina fanyika na imefanyika huko... na kupitia mradi huu wa umeme, vijana wengi wa rufiji wamenufaika sanaaaaa

Vijana wamejenga nyumba zao kwa kupitia mradi huu... nawafahamu vijana wengi sana... nyumba za matofari sio zile zenu za miti na udongo za zama zenu

Pia rufiji ina shule za advance tofauti na kipindi chenu, na zina fanya vizuri sana... shule hizo ni utete sekondary wao wana michepuo ya sayansi kma ilivyo mkongo sekondary, kuna mohoro nq ikwiriri...

Zamani shule ilikuwa ni kibiti na ikwiriri na mkongo pekee na advance ilikuwa kibiti pekee wilaya nzima

Dar rufiji zamani ilikuwa una safiri siku tatu mpaka nne... na kabla ya daraja la mkapa basi pale ndundu ferry ilikuwa ni balaa kuvuka, na huku mkongo kwenda wilayani utete ilikuwa ni mitumbwi tu....

Watu wameliwa na mamba na viboko...!

Sasa hivi kuna kituo cha utafiti kingupira cha wanyama pori... kuna veta ina enda kukamilika, kuna lami makao makuu ambayo ni kipindi kirefu sana haikuwepo nq hiv karibuni itakuwa historia kutoka dar mpaka makao makuu ya wilaya ni lami tu bila kugusa vumbi kwa kuwa mkandarasi yupo site ana jenga kipande cha kilomita chache kwa kiwango cha lami kuunganisha nyamwage na makao makuu ya wilaya (utete)

Wewe mwenyeji wa rufiji jitahidi kuwapa elimu ndugu zetu waweze kuamka na sio kuwa laumu.... watoe huko swekeni, wasibaki kula mahindi ya malao, walime kibiashara yani kifupi wafanye kazi wapate pesa kuendesha maisha, hakuna serekali itakayo mpelekea mtu pesa ya kula pasipo kufanya kazi kwq ustawi wake na taifa
 
Salaam wakuu,

Ni baraka na Neema iliyoje kumpata Rais mwenye Uchungu na Mali za Umma? Hakika Mungu anatufundisha na kutuonesha Umakini wa Rais wetu Samia Suluhu. Mungu anatuonesha Uwezo wa kufuatilia mambo wa Rais samia na wakati wa kupiga kura hatutaumiza kichwa kujua ubora wake kwani tumeona Uwezo wake wa juu wa kupambana na Ufisadi. Huu ndo uwezo wake wa juu wa utendaji ambao Mungu kamjalia.

Hii imepelekea Wakazi wa Kata za Mbuchi na Mbwera Kibiti Mkoani Pwani wamshukuru Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan kwa ujenzi wa daraja la Mbuchi lenye urefu wa mita 61 linalounganisha kata hizo ambao umegharimu shilingi bilioni 7.2.

Hongera sana Rais Samia Suluhu Hassan. Hakika wewe ni kielelezo cha Wanawake.

Kazi iendelee.

Asitokee mtu akamkosoa rais kwa utendaji huu. Tumpigie makofi tu kama anavyotaka. Kama Watawala wanaafiki hi kitu inatusaidia kujua akili zao na madhumuni ya kugombania vyeo.

Hadi sasa sijajua Watanzania wana uhusiano gani na Mungu. Hadi tunapata Viongozi/Watawala wa hivi
View attachment 2430635
View attachment 2430613View attachment 2430614
Bilioni saba hazijafika labda kama wameongeza sifuri mbele.
 
Tumesimama pembeni ya mama, mama anaubonda mwingi, Tanzania inapaa kiuchumi, we love u samia!!we love u jk,we love u nape, we love u makamba, we love u aweso, bila kusahau we love u Zito kabwe, lema, mbowe, and Sophia matravota!!!
 
Back
Top Bottom