Angalia daraja Mbuchi na Mbwera Kibiti la Bilioni 7.2 lililojengwa na Rais wetu Mpendwa Samia Suluhu. Tujipongeze

Hii taarifa hii😂😂
 
CCM oyeeee !!
 
Ni jambo la muda tu kabla yule mkaguzi mkuu wa mahesabu ya serekali au mtu mmoja kule bungeni atumie nafasi yake kuhoji kipi kilichofikisha daraja hilo kuwa hizo billions
 

Sarcasm at its finest!!
 
Hongera Mama, kazi iendelee...
Ila kwa fani yangu ya uhandisi kwa miaka 8 sasa bil 7 kwa hili daraja inafikirisha...
 
Mbona kama pesa hiyo ni nyingi Sana ukilinganisha na ukubwa,ubora wa Daraja lakini pia mahali ilipo wekezwa pesa hiyo????
 
Nyie endeleeni kuweka joking wakati watu wanatumbua pesa ambazo zinapaswa kujemga misingi kwa ajili ya watoto wetu, Wabongo ni watu wajinga sana, pesa zinapigwa na comment za watu unakuta ni asilimia 99 zemejaa utani tupu
Sasa watu wawatu wafanyaje? Kuna namna ya kuwazuia? Acha watu watanie tu! Inapunguza machungu
 
Halafu kesho mkiona vituo vya mafuta vinaota kama uyoga mnashangaa. Wakati mama ye anaamini amefungua nchi ndio maana watu wanafanya maendeleo.
Eeeh! Kweli maana watu wa karibu kama akina Bashe, hatimaye wanaona fursa na kujenga vituo vya mafuta 11 kibaha hadi Chalinze.
 
Kupitia uboreshaji wa miundombinu shughuri za usafiri na usafirishaji zimerahisishwa
 
Huyo mkandarasi yupo saiti ipi??njia ya mloka ni njia kubwa sana ila hakuna rami.

Mbunge yuko bize kuanzisha matamasha ya burudani sijui ndio hitaji kuu la wana rufiji.

Itoshe kusema rufiji imebarikiwa sana kwa aridhi nzuri na mto mkubwa inaotiririsha maji mwaka mzima.

#MaendeleoHayanaChama
 
Acha Uchawa we!?
Lini ulimkuta hapo akishika Nondo!?
Hizi ni Fedha zilizotolewa Kwa ajili ya WaTanzania na pia ziko za ndani.
Hakuzitoa Kwenye familia wala mfuko wake. Acheni misifa hadi inakera!
Mambo mengine ni wajibu wa Serikali iliyoko ofisini Wala sio mtu Fulani!! Jifunze.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…