Accumen Mo
JF-Expert Member
- May 15, 2022
- 18,036
- 39,882
Namba 4 hapo.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo ila bei yake inapanda kidogo 😂😂Shangazi je hahitajiki? Hahaha😂😂
Okee okee😂😂 wamegongeana dirishani, nawe ungenishtua nikukande.. inge balance vizuri kabisa.. ni kupeana mizuka tu
Mashangazi yana ndoa?? 😂😂Sema wa kike ukiwa kataaa ndoa kama hainogi hivi au ni akili Zangu za Mirungi😁
Penzi limevuja tenaa..penzi limevuja tenaaNimeona tupate uzoefu kidogo wa maisha ya ndoa ambao na mie nimeupitia..
1. Historia ya ndoa kwao, anzia ngazi ya wazazi je wapo kwenye ndoa au wameachana, je ? kuna ndoa za mitara kwao , pia hali ya ndoa kwenye familia nzima ikoje ( kama hali ya afya ya ndoa mbovu kuanzia wazazi, na nduguze jipange kisawa sawa )
2. Angalia hali ya kiroho, kama ni watu wa mizimu, matambiko , mauganga na uchawi ( jiandae kisaikolojia mapema ).
3. kama unae muoa ni mtoto wa kwanza na hali ya kiuchumi mbaya kwao ( jipange tena vizuri sana ) - ingawa wapo wenye hali hiyo ila kinacho okoa unakuta akili na hekima ipo, ila kama hii condition ipo na za juu zipo ( jiandae kisaikolojia )
4. Usio mtu ulie mtia kwa bahati mbaya, au alijilengesha, usema unamuoa kuua soo ( ni swala la mda tu )..
Hizi condition ukazikuta zote mahala unapotaka kuoa (hiiiii baghosha kata kushoto ), ila ukakuta moja hivi unaweza deal nayo..
Ndoa ni tamu sana, ndoa kuto kufanya vizuri kwa mtu A haimaanishi haitofanya kwa mtu B. Nilipigwa na kitu kizito kwenye ndoa, mwanamke nilie muoa kwao hizo 4P zote zilikuwepo kwao.. Nashukuru mzima, mwezi wa 11 naoa tena.. kinatoka kitu kinaingia kitu hakuna kupoa
We sio mshangazi 😁Mashangazi yana ndoa?? 😂😂
wee angaliaaa ndalama ipo basi mengine utavulia tuuPole sana kilamtu na fungu lake na alichoojaliwa na Allah vipi kuhusu wanaume ,,na familia zao,wanawake waangalie hayo pia??
Mshangazi nangai shauri yako ohh 😂😂We sio mshangazi 😁
😀😀wee angaliaaa ndalama ipo basi mengine utavulia tuu
Ukipiga bingo ukawa na gari na bznes unaqualify kua mushangazi eeeMshangazi nangai shauri yako ohh 😂😂
Mshangazi ni mshangazi haina kuqualify chochote, mshangazi wa Analyse uliomvalisha shati la batiki mbona una bedroom mbili na sebule za kupanga 🤣🤣🤣Ukipiga bingo ukawa na gari na bznes unaqualify kua mushangazi eee
Ule sio mshangazi, sema ngoja nikae kimya naona mtoto mzuri aaliya anapita pitaMshangazi ni mshangazi haina kuqualify chochote, mshangazi wa Analyse uliomvalisha shati la batiki mbona una bedroom mbili na sebule za kupanga 🤣🤣🤣
Watoto wa juzi wanajua ni kweli na kuunga mkono kampeni 😂😂😂😂 Kataa ndoa wote tuna ndoa waache watusikilize shauri yao ohhh!!
ndoa inaweza vuruga muelekeo wa maishaWale tunaoogopa kuoa yan sio kama hatupend