Hizi si ndio zile wamejitetea kuwa ni no show passengers...Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Kwahiyo picha iliyopo haikutoshi!Bila ushahidi usio na shaka hizi zitabaki ni tuhuma tu...weka picha tuone kuwa behewa lilitoka Dodoma hadi Dar likiwa tu
Viongozi wamegoma makontena yao yabebwe na treni toka bandarini mpaka Kwala, badala yake malori yao yayachukue toka bandarini kwenda nje ya nchi! Hii ni hujuma kubwa inayofanywa na viongozi.Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
Last seen Aug 8 unaona wako serious Hawa?Tanzania Railways Corp muwe mnajibu hizi shutuma.
Watu wa usalama wa taifa ni wapumbavu..kila kitu wanaingilia, sgr hii utdhani ni mali yao..Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
mkuu emu fafanua kuondolewa kwa 13500 DAR moro sgr, kupojeKm ni kwl wataiua km Air Tanzania. Waafrika ni afadhali ya nyani na tutakuja kutawaliwa kwa mara nyingine. We Rais wa nchi ni mwanamke km Samia unategemea nini? Abood kaleta mabasi zaidi ya 100 na hapo hapo treni ya sh 13,500 Dar-Moro ikaondolewa. Ndiyo maana nasemaga hiyo SGR haikuwa na maana wangejenga njia 4 barabara zote kuu. Samia kamuweka mpemba Makame Mbarawa wizara ya Uchukuzi kuchota matrilionj kupitia hiyo SGR. Samia ni mwanamke jizi hii Afrika, anajenga Zanzibar kupitia hiyo SGR na miradi mingine mikubwa.
Moro -Dom 70,000 hizi ni ngumu watu wengi kuzimuudu mbaya kabisa mwendo wa trani ni uleule, Hao wasimamizi Akili hawana
ok.🐒Hapa kuna jamaa alitafuta ticketi akakosa.kuwa ZIMEJAA. NO SEAT AVAILABLE.
Akatumia kujuana, akapata. Kuja akauta mabehewa matupu!
Sidhani kuwa system ya serikali haramu haijui. Kuna mkono wa HARAMIA MKUU anayehusika na haya!
Ningelikuwa mimi, ningelileta management from top bottom kutoka Ulaya waendeshe "wadigo" wandengeleko" mwende mkalime mihogo
ukibook kuna timer ya dakika 8 ya kufanya malipo, zikiisha hujalipa siti inabaki wazi.nina swali je, kuna tofauti kati ya kufanaya booking na kununua tiketi? ninachomaanisha uki book tiketi ni lazima uinunue au kuna adahabu yoyote kama fine labda kama ukibuku na usipoinunua tiketi?
nauliza hivyo kwa maana inawezekana pia wanaofanya booking ni wengi labda lkn hawasafiri labda siku ya iusafiri anabadilisha mawazo na hivyo kupelekea siti kuwa booked lkn tiketi haijanunuliwa na hivyo kwenda tupu, najaribu tu ku-brainstorm kabla ya kulaumu ...
ukibook kuna timer ya dakika 8 ya kufanya malipo, zikiisha hujalipa siti inabaki wazi.
swali lako hili linamanufaa je yawezekana mabasi yana kikosi ya kubook random seats, timer ikireset wanabook tena?
hapa watu wa mifumo ya tehama wangeweza kusaidia kutoka kwenye websites data gani zipo open to public wanaweza zipata, zitasaidia kuelewa ukubwa wa tatizo, yani kuna tatizo? tatizo ni la ndani au la nje?asante kwa kwa ufafanuzi, basi labda wangeweka booking fee angalau kidogo na isiwe bure kabisa kwani vitu vya bure siku zote watu watachezea, wakilipia booking italeta umakini kwamba kama ukifanya booking halafu hausafiri basi unapoteza hela hata kidogo au hata labda wakifanya booking na wakasafiri wanarudishiwa booking fee na wasiposafiri imeenda ...
..hakuna mjinga wa kufanya hivyo.ukibook kuna timer ya dakika 8 ya kufanya malipo, zikiisha hujalipa siti inabaki wazi.
swali lako hili linamanufaa je yawezekana mabasi yana kikosi ya kubook random seats, timer ikireset wanabook tena?
..wa-sub contract huduma zote, kwani tatizo ni tiketi tu..? kwanza hata mentality yao TRC ni mbovu, utatatua kimoja kimoja hadi wapi..hapa watu wa mifumo ya tehama wangeweza kusaidia kutoka kwenye websites data gani zipo open to public wanaweza zipata, zitasaidia kuelewa ukubwa wa tatizo, yani kuna tatizo? tatizo ni la ndani au la nje?
lakini hata bila utaalamu hii la booking ni dhahiri mtu akitaka kumisuse njia rahisi ni hii booking attack, na hiyo suala la fee ya booking kwa haraka unaweza weka mfumo wa kuload hela kwanza kwenye account/kadi ya pamoja (hii kwa sasa hatuna bado tuna utititri wa kadi) kwamba kabla ya booking system inacheck balance lazima kuwe na balance ambayo itawaruhusu wao kukata fee incase ukibok na kutolipia, so kama salio lipo above kiwango fulani unaendelea. naunga mkono hii itasaidia shambulio la booking
lakini kwenye computer science wanasema jambo kuu linalofanywa huko ni problem solving,..hakuna mjinga wa kufanya hivyo.
unamaanisha nini hapa?..wa-sub contract huduma zote, kwani tatizo ni tiketi tu..? kwanza hata mentality yao TRC ni mbovu, utatatua kimoja kimoja hadi wapi..