Poor Brain
JF-Expert Member
- Jul 5, 2019
- 19,644
- 40,546
πππππππππππππMkuu kuna watu wanashindwa hao ambao hawajishughulishi...
Kwa mfano we unaona unaweza ukatengeneza kitu walau kwenye Computer ila kuna mtu computer kazi yake yeye ni kucheza game,Kuangalia mobi na suffing ...
Huyu mtu ntamuitaje ??
Badala ya ubongo ilibidi aseme nini...???Hii kateleza tena sio kidogo π€£π€£ dah
Na kumbuka AI imeanza kuwa public kipindi hiki cha karibuni, so kwasasa inakusanya taarifa nyingi sana kutoka kwa users, na hiki ndio kitamfanya awe bora sana katika siku zijazo Maana kama ni maarifa anayakusanya sana.Uzuri ni kwamba unaweza kupromt AI ikafikiri au ikachora kam da vinci picha yoyote...
Kuna kipindi niliwahi kuuliza AI inipe mawazo ya magufuli kwenye.matter fulani hivi yaani kama angekuwepo angefanya nini na Angechukua jukumu gani na speech yake ingekuwaje...ikanipa
Mkuu ubongo wa Binadamu kweli una mikunjo na una sentimita kwa wastani wa 15-17 cm ....Badala ya ubongo ilibidi aseme nini...???
Swali limekuja kwako daktariπππ
Ndio aweke kwenye intro ya sentence π. Jamaa yuko seriousππππ hii kateleza bahati mbaya bana msamehe
Unajua Elon Musk ni miongoni wa waanzilishi wa OpenAI ambao ndo watengenezaji wa ChatGptNa kumbuka AI imeanza kuwa public kipindi hiki cha karibuni, so kwasasa inakusanya taarifa nyingi sana kutoka kwa users, na hiki ndio kitamfanya awe bora sana katika siku zijazo Maana kama ni maarifa anayakusanya sana.
All in all hii AI tuliyonayo ni light one π. Angalia khofu aliyonayo mtu kama Elon Musk juu ya AI.
Ndo maana nikasema kwa ubongo hapo hapana ila niliwahi sikia kuhusu nini zile za genetics sijui...πππMkuu ubongo wa Binadamu kweli mzima una mikunjo na una sentimita kwa wastani wa 15-17 cm ....
Japo ukikujuliwa (Japo ni theoretically huwezi kuukunjua) unawweza ukafika takribani Sentimita 80-100...
Kwa phrase alotoa sijui kaitoleaa wapi π€£π€£
Jamaaa kashaleft kitambo....Ndio aweke kwenye intro ya sentence π. Jamaa yuko serious
Yeah! Nafahamu.Unajua Elon Musk ni miongoni wa waanzilishi wa OpenAI ambao ndo watengenezaji wa ChatGpt
Umenisikitisha sana! Kama we doctorate by phD ni hasara!Mkuu hapo kwa ubongo nishushe kaka! Hii safari siwezi kuendelea π€£π€£π€£
Kwamba ukunjue ubongo utoke Afrika mpaka Marekani na kurudi mara nne Aah mkuu nishushe sipandi mwndokasi π€£π€£
Hata mimi hapo umeniacha mkuu fanya utuelekeze...π€π€π€ππππUmenisikitisha sana! Kama we doctorate by phD ni hasara!
Soma tena uelewe... unajua maana ya falsafa?!
Tunaomba source, Mkuu. Tujisomee pia.Umenisikitisha sana! Kama we doctorate by phD ni hasara!
Soma tena uelewe... unajua maana ya falsafa?!
Am not a PhD holder, Am a scientist acha nikusikitishe kwa sababu as A medical Personel Sicho ninachokijua kuhusu ubongo mkuu...Umenisikitisha sana! Kama we doctorate by phD ni hasara!
Soma tena uelewe... unajua maana ya falsafa?!
Yupo ana dig deep kwanza...πππππππππTunaomba source, Mkuu. Tujisomee pia.
Sasa sijui atakuja na sources gani ?π€£π€£Yupo ana dig deep kwanza...πππππππππ
Watu mna mambo ya ajabu humu...
Tusubiri....π€π€π€πππSasa sijui atakuja na sources gani ?π€£π€£
ina hisabati balaa.... niliisoma mwaka wa 2π
kwa juu juu tu, ila ni field ngumu na unatakiwa ujue programming
Zote zinaweza co-exist.naungana nawe ndugu yangu, ipo michoro ya mkono yenye zaidi ya miaka mia ubora wake haulinganishwi na teknolojia ya sasa, sidhani kama itakuja kukosa soko michoro ya mkono , kuna watu wamejaliwa karama ya choraji mpaka hio AI inashangaa.
Akileta source nitag π€£π€£Tusubiri....π€π€π€πππ
Daktar mi nipo hapaAkileta source nitag π€£π€£