Angalia Jinsi Akili Bandia (AI) Inavyoanza kupumzisha Wachoraji wa katuni na Wengineo

Duuh umeongea kitu kizito sana mkuu.
 
Naweza kukosoa kidogo kwenye hii picha iliyotokana na AI ambapo picha imetoa vitu tofauti. 1. A hen close to her feet (kuku yupo mbali na miguu). 2. A hen (hapo pichani naona ni jogoo).
Sawa mkuu.

Kwenye maendeleo ya teknolojia hii ya Akili bandia kuna cage au tuseme app nyingi sana na bahati mbaya AI zao hazijaweza kutoa usahihikwa 100%.

Ni unaweza kukuta vidole virefuuu au makosa sehemu fulani.

Although safari ndiyo hiyo tumo tunaenda 😄!
 
Anahofia technology ya ma company yake ikapitwa Kwa haraka
 
AI ukitumia kwenye masoma , uki vi apply Kwa vitendo ni Big win
 
Anahofia technology ya ma company yake ikapitwa Kwa haraka
Mkuu, hivi unafahamu Technology inayotumika in the military huwa ni more advanced kuliko hii yetu? Imagine AI sasa
 
Hii ni aina gani ya AI generator Mkuu hebu nipatie link
Mkuu download Bing app kwenye simu yako then anza papo kwa hapo kutia prompt uitakayo, mfamo chukua ile yangu na badirisha kidogo tu uont itakavyokuletea chagua manne.
 
Mkuu download Bing app kwenye simu yako then anza papo kwa hapo kutia prompt uitakayo, mfamo chukua ile yangu na badirisha kidogo tu uont itakavyokuletea chagua manne.
Kuna moja nimeisahau ni image generating prompt
Halafu si nasikia Bing in ChatGpt4
 
Hujanijibu boss umetumia Ai gani
Hilo ndilo swali ulipaswa kuuliza mwanzo ila ukauliza wapi unaweza kutengeneza cover book!.

JIBU: download app ya Bing kisha weka prompt yako uitakayo na iruhusu ikuletee majibu manne then chagua moja inayoendana na ombi lako.
 
Kuna moja nimeisahau ni image generating prompt
Halafu si nasikia Bing in ChatGpt4
Mkuu zipo nyingi sana kwa sasa, kadiri unavyokuwa na uelewa ndivyo unaweza kuhama kutoka Bing kwenda Midjourney au LensGo.
 
Nani katengeneza vyote hivyo na kuvipa uwezo huo?

Wewe hujui hata kucha yako imetengenezwa na nani.

Mkuu umemuelewa jamaa vizuli hoja yake? Amekupa mfano huu. Binadamu hana uwezo wa kubeba watu elf1 kwa wakati mmoja ila binadam huyo huyo kwakutumia akili yake akatengeneza meli inayo weza kubeba hao watu elf1 kwa wakati mmoja…..au mfano mwingine. binadam hana uwezo wa kugusa nyumba ikabomoka ila binadam huyo huyo Kwakutumia akili yake katengeneza grader kifaa kinachoweza gusa nyumba ikabomoka….maanayake binadam anao uwezo wa kutengeza kitu ambacho kina uwezo ata kumshida yeye
 
Jisome vizuri.
 
Hilo ndilo swali ulipaswa kuuliza mwanzo ila ukauliza wapi unaweza kutengeneza cover book!.

JIBU: download app ya Bing kisha weka prompt yako uitakayo na iruhusu ikuletee majibu manne then chagua moja inayoendana na ombi lako.
Hapana sio mimi mkuu mi cover book natengeneza mwenyewe nikiamua throgh Adobe PS umechanganya watu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…