BABA Dillish
JF-Expert Member
- Jan 20, 2016
- 2,608
- 3,562
Ni kweli sisi tunapita tu kitakachobaki ni mchanga tu.NMabango ya Kenya yanahamasisha kukuza uchumi wa Nchi lakini ya Tanzani s yamejaa mama mitano tena.Hovy sana hii Nchi.Huenda mfumo wa elimu wa Tanzania umeathiri fikra za watanzania Kwa kugeuka kuwa chawa wa watawala badala ya kujitambua
Unafiki mwingi sana