Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Nganushaa eehHakuna kitu hapo ungeviunganusha ivyo vipande kusiwe na nafasi ya cement tupu
Unganisha vipandeNganushaa eeh
Na nafasi ya cement jeUnganisha vipande
Hakuna kazi hapo kunautalamu unatafuta vipande kati ya hivyo vinavyoshabiana kulingana ndo unaviunganisha ngoja nikiludi kwangu ntaweka picha hapa ili muone jinsi ilivyo huwezi ona sehemu ya cement sema jamaa ndo anajifunza iyo kaziHajui vipande kuachia nafasi n saruji kuja kucover sehemu za Pembeni ni moja ya kuweka uimara wa vipande.
Zìkiwa nzima ndiyo zinabananishwa pamoja, sasa vipande utaviunga utaweza?
🤣🤣
Kuna mambo mengi ya kuzingatia mkuu.Hakuna kazi hapo kunautalamu unatafuta vipande kati ya hivyo vinavyoshabiana kulingana ndo unaviunganisha ngoja nikiludi kwangu ntaweka picha hapa ili muone jinsi ilivyo huwezi ona sehemu ya cement sema jamaa ndo anajifunza iyo kazi
Hapo ndo umeongea point kwamba boss anafosi vipande ivyo vitoshe sehemu yote bila kujali ubora wa kazi hapo sawa maana kubananisha vinaenda vipande vingi sanaKuna mambo mengi ya kuzingatia mkuu.
Eneo linahitaji let say viroba 10 vya vipande, Boss amekuja anakwambia kuna viroba 7 tu hakikisha vinamaliza kazi.
Utalazimisha kubananisha wakati material haitoshi?
Nathamini maoni yako.
Ukungu wa kijani huo ni uchafu mkuu.Izo nafasi za cement baadae zinatengeneza ukungu wakijani
Kazi nzuri,nitakucheki,nipo Dodoma!