magnifico
JF-Expert Member
- Jan 14, 2013
- 11,075
- 24,634
Sema mafundi hawakosoani hadharani mababu, ulitakiwa umvute chemba. Hapa inaonekana kama unamsagia kunguni.Hakuna kazi hapo kunautalamu unatafuta vipande kati ya hivyo vinavyoshabiana kulingana ndo unaviunganisha ngoja nikiludi kwangu ntaweka picha hapa ili muone jinsi ilivyo huwezi ona sehemu ya cement sema jamaa ndo anajifunza iyo kazi