Sema mafundi hawakosoani hadharani mababu, ulitakiwa umvute chemba. Hapa inaonekana kama unamsagia kunguni.Hakuna kazi hapo kunautalamu unatafuta vipande kati ya hivyo vinavyoshabiana kulingana ndo unaviunganisha ngoja nikiludi kwangu ntaweka picha hapa ili muone jinsi ilivyo huwezi ona sehemu ya cement sema jamaa ndo anajifunza iyo kazi
Ukungu wa kijani huo ni uchafu mkuu.
Sehemu isiyo fanyiwa usafi lazima itakuwa na Ukungu, refer masink ya choo.
Sink ukiliacha bila kulifanyia usafi lazima litakuwa na huo unaosema ni Ukungu.
Cha muhimu fanya usafi.
Sema mafundi hawakosoani hadharani mababu, ulitakiwa umvute chemba. Hapa inaonekana kama unamsagia kunguni.
Huyo siyo fundi mkuu,Sema mafundi hawakosoani hadharani mababu, ulitakiwa umvute chemba. Hapa inaonekana kama unamsagia kunguni.
Hakika mkuu, na mimi huwa sichukulii kama nimekosolewa,Unatakiwa ukikosolewa uchukulie postive ndo utafika mbali ukichukulia negative hutofika mbali maana utaona kama mtu hapendi hatua zako