Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Chai zingine bhana acha ndoto mkuu hapo ulipo unawaza kodi ikiisha unafanyaje alafu ukajengee malaya nyumba alooo amka jua lishawaka
 
Hahaha......................uje nikupe mashamba tu, pension ni mwezi hadi mwezi 🤪
Eeeeeh Babu mashamba tena?Hayo mambo ya kama unataka Mali utaipata shambani mi Siyawezi,,sana sana nitayapiga bei tu🤣🤣
 
Dogo huyo yuko straight nenda nae sawa na wewe mjibu. Njoo nikut...mbe utaondoka na hiyo 30. Basi mchezo unaishia hapo kila mtu atagain.
 
Naam hii ndio jf bwana hakunaga mnyonge wote ni matajiri na watoto wa mjini hatari
 
Na ukikaa kifala utapigwa kizembe hadi akili ikukae sawa
Muda mwingine mpigwe tu ili mkomege nakutulia !
 
Wigelekelo best nimeona kivuli chakooo!!
Miss you sana jamanii njoo ona dogo anavopigwa kizembe huku
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…