Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

Angalia mrembo huyu alivyonijibu, anafaa kweli huyu?

A729301C-D9C0-403B-A52F-844996F5E354.jpeg
 
Kuna madem wanamkataa mwenzao kwa style yake ..,ndio mana bwana kowaski uwa anaenda straight to the point ..,mrembo nataka mzigo bei gani
 
Pathetic,
Unaombwa 30,000 dunia nzima inajua. Kwanza 30,000 atanunua Nini maskini?
Wenzio wanahonga Land cruiser LC200 na hiyo Ni nyumba ndogo. Halafu wewe, kwa siku unatumia sh ngapi kwa matumizi yako binafsi?
Ningempata mwanamke anayeniomba kiwango kidogo Kama hicho ningemjengea nyumba mbili.
Acha sifa za kijinga mkuu
 
[emoji1][emoji1] Hali ya uchumi pia mnatofautian ko nibora tu ungekaa kmy tu kaka
Jamaa sijaipenda komenti yake anahisi watu maisha tunafanana. Lakini pia mtoa mada hajasema hawezi kumpa hio 30k but reaction ya demu, unampa hi ye hakujibu analeta pesa mbele
 
Huyo demu namfananisha na pisi yangu moja ya Moro, ilikuwa ikitaka jambo lazima ulifanye.

Nilikuwa na tabia ya kuongea na wadogo zake ambao mostly ni wa kike, basi akiwapa simu wanisalimie kwa pembeni unasikia sauti mwambie naomba hela ya soda mara hela ya nn.

Kuna siku amenipigia simu akampa dogo wake hata salam hakuna, nikasikia nataka hela yangu. Duuuh nikakata simu, akapiga sikupokea.

Nikamtext subiri nitafute hio hela nikiipata nitakuwa napokea simu zako, akanijibu aaah sawa bhana.

Kuna siku nimekaa nikasuka mkeka betpawa nikastake 5k mambo yakajibu.

Nikamtext hela niweke kwa namba ipi, nikampa mara mbii ya ile hela. Afu nikamwambje siku nyingine asirudie
 
Duh!! Kuna Watu hawajui kuomba hela kabisa yan.
Hela ndiyo zinaombwaga hivyo kirahisi?
Hata hajaitikia salamu?
kaka zetu mna shida 🤣🤣🤣🤣
😅😅😅😅 bora hata umesema, sema huyu mwanamke ana madanga mengi afu anaonekana ana depression.
Salamu ni nina shida 30000
 
Tusilee wanawake wasio na mapenzu atakuletea presha
Umesema sahihi Mkuu

Kuna wakati hata kama tunachunwa basi huyo bibie afanye hata kuigiza kukupenda.........yaani mtu hana hata lugha ya kubembeleza yeye anajali hela tu.

Ndiyo maana Vijana wa hovyo huwa nawasoma humu wanasema wao hawahangaiki na kumfanya mrembo afike Kibo.......muhimu yeye mtoa pesa awatoe Wazungu then alale zake hata kama hiyo Process ya kuwatoa Wazungu inachukua sekunde 20 yaani ile unaweka tu then shwaaaa...🙌
 
Back
Top Bottom