Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

View attachment 2225146daraja la wami limekamilika kwa asilimia kubwa, imebaki kuweka vikorombwezo tu na nakshi nakshi, si unajua tena wamama lazima wapambe pambe kazi zao.
Kama wewe ni masalia ya ukoo wa Tomaso, unaweza kuzoomView attachment 2225151
Raha ya kuwa na Rais tajiri kwani anao uwezo wa kujenga madaraja kwa kutumia pesa zake, yule wa Zambia yeye hataki kulipwa mshahara wala posho.
 
Whose brain work is that ? Au unafikiri ni Samia ndiye aliyeleta wazo la kuanzisha hiyo miradi Tanzania?

Acheni wizi wa idea za mtu, Magu(RIP) alianzisha hiyo miradi yote, halafu mnataka kupora idea na kazi za Magu mseme ni Samia kafanya huku mkitegemea Mungu awabariki?
Huo ni wizi hauna baraka, ndo maana hamkubaliki kwa Watanzania na haijalishi mnafanya nini, kwani Watanzania wanajua SGR, Flyovers, Meli, Mradi wa MW zaidi 2000 Rufiji, Mwendokasi, Bara bara ya mijini Tanzania nzima, Shirika la Ndege, ni brain work ya Magu!
 
Magufuli anastahili sifa zake za kuchapa kazi kwa bidii, kutekeleza na usimamizi wa uhakika kwenye hiyo miradi.
Hata hivyo, idea za miradi hiyo zilikuwepo na mingine tangu awamu ya kwanza.
 
View attachment 2225219
mimi nadhani vinakuja vitu vizuri kama hivyo kumbe mnaleta scraper za miaka ya 70s!
Hapa reli zote zinaletewa Mabehewa, SGR na Meter Gauge, waambie wazazi wako waendelee kurina asali pale tabora na kukusanya maziwa, yanafika Dsm hayajaganda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…