Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

Ni kweli JK alianzisha SGR na kuna 1KM rail ilijengwa maeneo ya Pwani! Alipokuja Aliekuja kwanza alimtia Segerea jamaa aliewaleta Wawekezaji wa hii mnayoiita SGR ya sasa na hapo ndo madudu yalipoanza! Natafuta picha yake ntaiweka hapa soon

Kampuni? Kwa maana mradi wa SGR kwa reli ya kati atleast ni mkubwa huwezi kuanza kuujenga halafu kusiwe na records popote, huu mradi wa Billions of US dollars!
 
Kampuni? Kwa maana mradi wa SGR kwa reli ya kati atleast ni mkubwa huwezi kuanza kuujenga halafu kusiwe na records popote, huu mradi wa Billions of US dollars!
Ntakuwekea pia picha ya 1KM iliyojengwa na JK ambapo ndo ilitakiwa ianzie hapo kwenda mikoani

3AC5E06F-77B7-409D-93E7-84F3F3BD6133.png
 
Tulio Wengi Imani, Matumaini Yetu Tele Yalikuwa Tuone Chombo Hicho Kikitua Tanzania, Lakini Ajabu Tunaletewa Gusi La Hovyo Yaani La Uwimbombo Na Ulindi
Kabisa Mkuu tulitegemea vitu kama hivi ! Wanaleta Treni za Hitra alafu wanatulazimisha tukubali

CF998CFF-6CAD-4CC9-BF0F-9527299663F6.jpeg

04C0023E-EA77-443D-AC94-253A4E0A2BA5.jpeg

34D1E2E0-A5F6-446E-81EC-1661F614C98C.jpeg
 
Mkapa alianzisha wazo JK alianza kujenga.

Kampuni gani iliyoshinda tenda ya kujenga SGR wakati wa Kikwete ? Kwa maana mradi mkubwa namna hiyo wa billions of dollars huwezi kuniambia hakuna mahali unapoweza kuonyesha Kampuni iliyojenga na kama Mkataba ulivunjwa ni lazima ingekuwa ishu kubwa hata Bungeni ungeongelewa na tungeshitakiwa.

Mfano leo inajulikana wanaojenga SGR ni Kampuni ya Yapi Merkezi kwa Dar-Moro atleast na records ziko wazi.

Sasa hiyo Kampuni ya wakati wa awamu ya 4 iliyojenga SGR ni ipi ? Na Mkataba uvunjwe tu hivi hivi bila ya chochote kutokea?
 
Hapa reli zote zinaletewa Mabehewa, SGR na Meter Gauge, waambie wazazi wako waendelee kurina asali pale tabora na kukusanya maziwa, yanafika Dsm hayajaganda
Tabora Tena? Kigali mmeghairi
 
Sipendezwi mawazo ya baadhi ya watanzania na nadhani kuna shida mahali
Mijadala humunni ya kuangalia nani alifanya nini na kulinganisha marais wa kila awamu.Kwangu mimi kila rais amejaribu kuisogeza tanzania mbele. Tujadili tunasonga je zaidi tukizingatia kwamba sisi sio kisiwa.tukichelea wenzetu watatupita na tutatamani kuwa wakimbizi kwa majirani zetu.mfano ukitaka kupata elimu nzuri utatamani kwenda kenya je wewe ulikuwa wap wakati kenya akiboresha mifumo yake ya elimu na mifano mingi kama hiyo.tujikite kuangalia tunafikaje tunapopataka na kuwa wazalendo kwa taifa letu.tuwakemee watu wwenye mawazo ya kuligawa taifa.
 
chinembe Kwanza haya ni Mazito sana so Umeme mwingi unatumika kuvuta mabehewa! Pia Design yake sio energy efficient kwani Technology yake ya Mfumo wa umeme na Motor zake ni old tena sana so no efficiency !
Duniani No Moja Bigwa wa kutengeneza reli na Train za Umeme ni https://twitter.com/CRRC_global?ref_src=twsrc^google|twcamp^serp|twgr^author . Ambae Mwenda zake alimkataa (akijua anawakomowa kina mwafulani) kumbe anajiingiza kwenye matatizo. Hapa kwenye SGR tumepigwa tena na Kitu kizito na Chenye ncha kali
Ongea machache bro.sio kila king'aacho ni dhahabu
 
Kampuni gani iliyoshinda tenda ya kujenga SGR wakati wa Kikwete ? Kwa maana mradi mkubwa namna hiyo wa billions of dollars huwezi kuniambia hakuna mahali unapoweza kuonyesha Kampuni iliyojenga na kama Mkataba ulivunjwa ni lazima ingekuwa ishu kubwa hata Bungeni ungeongelewa na tungeshitakiwa.

Mfano leo inajulikana wanaojenga SGR ni Kampuni ya Yapi Merkezi kwa Dar-Moro atleast na records ziko wazi.

Sasa hiyo Kampuni ya wakati wa awamu ya 4 iliyojenga SGR ni ipi ? Na Mkataba uvunjwe tu hivi hivi bila ya chochote kutokea?
 
Hili jina halinibariki hakuna uwezekano wa kulibadili !.

Tuliwahi kumkataa Balozi wa Zambia kwakuwa jina lake lilikuwa na ukakasi.
huyo balozi wa Zambia jina lake nani vile?
 
Hahaha eti Kikwete alitaja sana, hata Uraisi pia kila mtu anautaja sana, kwa kuwa tu unataja kitu haimaanishi kwamba unaweza na una uwezo wa kukifanya, kila mtu alitaja kuhamia Dodoma lkn hawakufanya hivyo ukiondoa Mkapa (RIP) ambaye alihamishia Bunge Dodoma ( Big step and Big up to him) aliyemfwata hakufanya kitu na Magu akahamishia Mji Mkuu Dodoma na hata Bunge kupitisha officially kwamba Mji mkuu wa Tanzania sasa ni Dodoma!
Nakubaliana na wewe ulichoandika hapa.
Tofauti ni kwamba idea hazikuwa za Magufuli, yeye alitekeleza tu, anastahili pongezi nyingi kwa utekelezaji. Amefanya makubwa.
 
View attachment 2225146daraja la wami limekamilika kwa asilimia kubwa, imebaki kuweka vikorombwezo tu na nakshi nakshi, si unajua tena wamama lazima wapambe pambe kazi zao.
Kama wewe ni masalia ya ukoo wa Tomaso, unaweza kuzoomView attachment 2225151
chinembe inabidi uongezewe posho..hii kazi unayofanya sio ya kitoto.

Kulipwa buku seven kwa hii shughuli sio poa.
Hata hivyo ulipwe ulipwavyo, unaonekana wewe ni mchapa kazi hodari.
Ninakupongeza kwa hilo.
 
Back
Top Bottom