Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

Mbona yana muundo wa kizamani? Ya Yasijekuwa used wanachomelea
 
View attachment 2225219
mimi nadhani vinakuja vitu vizuri kama hivyo kumbe mnaleta scraper za miaka ya 70s!

Hii kitu aligundua mjapan ni hatari inaitwa Bullet train na hiyo ndo mwendokasi inayostahili kupamba mji pale ilala juu kwa mwendo wa risasi hiyo ya huyu bwana ni ya kale kidogo haideserve kupita mjini
 
Pasted:
Whose brain work is that ? Mnafikiri ni Samia ndiye aliyeleta wazo la kuanzisha hiyo miradi Tanzania?

Acheni wizi wa idea za mtu, Magu(RIP) alianzisha hiyo miradi yote, halafu mnataka kupora idea na kazi za Magu mseme ni Samia kafanya huku mkitegemea Mungu awabariki?
Huo ni wizi hauna baraka, ndo maana hamkubaliki kwa Watanzania na haijalishi mnafanya nini, kwani Watanzania wanajua vyoe ni brain work ya Magufuri!
 
[emoji24][emoji24][emoji24][emoji24]acha niamini bado finishing[emoji23]
 
Whose brain work is that ? Au unafikiri ni Samia ndiye aliyeleta wazo la kuanzisha hiyo miradi Tanzania?

Acheni wizi wa idea za mtu, Magu(RIP) alianzisha hiyo miradi yote, halafu mnataka kupora idea na kazi za Magu mseme ni Samia kafanya huku mkitegemea Mungu awabariki?
Huo ni wizi hauna baraka, ndo maana hamkubaliki kwa Watanzania na haijalishi mnafanya nini, kwani Watanzania wanajua SGR, Flyovers, Meli, Mradi wa MW zaidi 2000 Rufiji, Mwendokasi, Bara bara ya mijini Tanzania nzima, Shirika la Ndege, ni brain work ya Magu!
Inaelekea umepata akili wakati wa magu
 
Tunaletewa Leo hii mabehewa ya kupanda kwa ngazi ya kupachika ya heavy steel
 
Whose brain work is that ? Au unafikiri ni Samia ndiye aliyeleta wazo la kuanzisha hiyo miradi Tanzania?

Acheni wizi wa idea za mtu, Magu(RIP) alianzisha hiyo miradi yote, halafu mnataka kupora idea na kazi za Magu mseme ni Samia kafanya huku mkitegemea Mungu awabariki?
Huo ni wizi hauna baraka, ndo maana hamkubaliki kwa Watanzania na haijalishi mnafanya nini, kwani Watanzania wanajua SGR, Flyovers, Meli, Mradi wa MW zaidi 2000 Rufiji, Mwendokasi, Bara bara ya mijini Tanzania nzima, Shirika la Ndege, ni brain work ya Magu!
Kama ni hivyo tumsifie Kikwete na sio Magufuli
 
Watawadanganya watoto waliozaliwa leo..ila tunajua na tunafahamu wanatembelea reli ya jpm.

Hawana jipya hao.

Myb wakianzisha mradi wa bagamoyo na waweke wazi mikataba yake ndio tutawaona angalau wameanza kujitutumua.

Mazuri hufunikwa na mazuri zaidi.

#MaendeleoHayanaChama
 
View attachment 2225133View attachment 2225135Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi.

Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni?
Shukrani zote ziiendee Awamu ya Tano chink ya Jiwe Magufuli kwa "kuthubutu" kuanzisha miradi mikubwa ya kimkakati. Miradi yako inajitambulisha. Ya kwao pamoja na kupigiwa promo ya kufa mtu kama Royal Tour, bado wanaona aibu kuitangaza.
 
Umekosea picha hayo mabehewa hayafanani na sgr
 
Ndege mbona kama za Mabeberu??? Yaani nna pesa nisinunue kitu kizuri bora na madhubuti kisa Mwafrika?? Ubongo wako unatatizo pole sana😭. Hizi Behewa ni za 1945 huko full stop! Tuache kujitinganisha sijui na Kenya bra bra! Hapa kila kitu ohoo Kenya ni ghari Mafuta kuliko sisi- wakati shillingi moja ya Kenya na Shillingi ya Tz ni vitu viwili tofauti.
Hujaeleweka
Ungeonyeshwa treni ya kisasa bado ungehoji pesa imetoka wapi. Binadam siku zote haishiwi cha kusema
 
Back
Top Bottom