The Knowledge Seeker
JF-Expert Member
- Apr 13, 2019
- 3,418
- 5,028
Wanasema tembea uwone, watz mnajenga barabara za walemavu alafu mnaita fly over na wakenya barabara zao waitaje sasa
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Magufuli anastahili sifa zake za kuchapa kazi kwa bidii, kutekeleza na usimamizi wa uhakika kwenye hiyo miradi.
Hata hivyo, idea za miradi hiyo zilikuwepo na mingine tangu awamu ya kwanza.
Ukiyaangalia tu unaona kabisa kuwa ni Used hapo wanayapiga Rangi! Tusijufariji sijui anaupiga Mwingi bra bra .Hapo akuna treini ni takataka za Train hizi ni treni za 1945! Nimekuwekea trains za sasa na hizo zenu mnazozisifia MATAGA uone tofautiYale hayajakamilika, Tulia uone kazi ya SSH
Mwenye maono alishaondoka, waliobeba maono wakaondolewa. Lolote saa hizi liende tu.View attachment 2225219
mimi nadhani vinakuja vitu vizuri kama hivyo kumbe mnaleta scraper za miaka ya 70s!
Sikuandika yote, neno baadhi lina nafasi hapo.Kama ipi iliyokuwepo tangia awamu ya kwanza ukiondoa Bwawa la maji ?
Kwa hiyo tusiendeleze sababu ilibuniwa na mwendazake?Whose brain work is that ? Au unafikiri ni Samia ndiye aliyeleta wazo la kuanzisha hiyo miradi Tanzania?
Acheni wizi wa idea za mtu, Magu(RIP) alianzisha hiyo miradi yote, halafu mnataka kupora idea na kazi za Magu mseme ni Samia kafanya huku mkitegemea Mungu awabariki?
Huo ni wizi hauna baraka, ndo maana hamkubaliki kwa Watanzania na haijalishi mnafanya nini, kwani Watanzania wanajua SGR, Flyovers, Meli, Mradi wa MW zaidi 2000 Rufiji, Mwendokasi, Bara bara ya mijini Tanzania nzima, Shirika la Ndege, ni brain work ya Magu!
Whose brain work is that ? Au unafikiri ni Samia ndiye aliyeleta wazo la kuanzisha hiyo miradi Tanzania?
Acheni wizi wa idea za mtu, Magu(RIP) alianzisha hiyo miradi yote, halafu mnataka kupora idea na kazi za Magu mseme ni Samia kafanya huku mkitegemea Mungu awabariki?
Huo ni wizi hauna baraka, ndo maana hamkubaliki kwa Watanzania na haijalishi mnafanya nini, kwani Watanzania wanajua SGR, Flyovers, Meli, Mradi wa MW zaidi 2000 Rufiji, Mwendokasi, Bara bara ya mijini Tanzania nzima, Shirika la Ndege, ni brain work ya Magu!
Sikuandika yote, neno baadhi lina nafasi hapo.
SGR, Kikwete alitaja sana, flyovers hivyo hivyo, mabasi ya BRT imeanza wakati wa Kikwete.
Maendeleo huanzia kwenye fikra za ukweli badala ya kujidanganya.
Umasikini mbaya kuliko wote ni ule wa fikra.
Kwa hiyo tusiendeleze sababu ilibuniwa na mwendazake?
Hayo mabehewa kama ya kubeba ng'ombeView attachment 2225133View attachment 2225135Balozi akikagua Mabehewa ya SGR, miradi inaendelea, na watumishi wanaangaliwa maslahi.
Awamu Ile ilikwama wapi!? Au korosho ziliwajaa rohoni?
Idea ya SGR ilikuwa ya JK, bwawa la Stigler na kuhamia Dodoma ilikuwa ya Nyerere.
Ndege mbona kama za Mabeberu??? Yaani nna pesa nisinunue kitu kizuri bora na madhubuti kisa Mwafrika?? Ubongo wako unatatizo pole sana😭. Hizi Behewa ni za 1945 huko full stop! Tuache kujitinganisha sijui na Kenya bra bra! Hapa kila kitu ohoo Kenya ni ghari Mafuta kuliko sisi- wakati shillingi moja ya Kenya na Shillingi ya Tz ni vitu viwili tofauti.Hivi kweli kuna mtu alifikiri tren zitakua kama zile za mabeveru.?
Tuache kubeza, kidogo kidogo hujaza kibaba
Ni kweli JK alianzisha ujenzi wa SGR , Wazo lake alilianzisha Mkapa na kuna 1KM rail ilijengwa maeneo ya Pwani! Plan ilikuwa SGR ianzie Maeneo ya Kisarawe ili kuwe na ufanisi na eneo la kituo liwe kubwa na lakutosha(angalia mpaka sasa toka pale stesheni mpaka Pugu ujenzi aujakamilika😁 Alipokuja Aliekuja kwanza alimtia Segerea jamaa aliewaleta Wawekezaji wa hii mnayoiita SGR ya sasa na hapo ndo madudu yalipoanza! Natafuta picha yake ntaiweka hapa soon (ya hiyo 1KM )Wowowo idea ya JK ? Ushahidi uko wapi kwamba Kikwete alileta wazo la SGR ? Nijuavyo mimi idea na wazo la Kikwete ni UDOM, tofautisha kuongelea kitu na kukifanya kiwe, ni Stiegler na Dom ni Nyerere alileta wazo aliyelikamilisha ni Magu at least appreciate that, hivyo tu!