Angalia picha: Mabehewa ya treni za SGR yanatengenezwa, barabara zinajengwa, meli, madaraja, na mishahara inaongezwa

Magufuli anastahili sifa zake za kuchapa kazi kwa bidii, kutekeleza na usimamizi wa uhakika kwenye hiyo miradi.
Hata hivyo, idea za miradi hiyo zilikuwepo na mingine tangu awamu ya kwanza.

Kama ipi iliyokuwepo tangia awamu ya kwanza ukiondoa Bwawa la maji ?
 
Yale hayajakamilika, Tulia uone kazi ya SSH
Ukiyaangalia tu unaona kabisa kuwa ni Used hapo wanayapiga Rangi! Tusijufariji sijui anaupiga Mwingi bra bra .Hapo akuna treini ni takataka za Train hizi ni treni za 1945! Nimekuwekea trains za sasa na hizo zenu mnazozisifia MATAGA uone tofauti















 
Piga kazi mama tumecheleweshwa mnooo kama taifa
 
Kama ipi iliyokuwepo tangia awamu ya kwanza ukiondoa Bwawa la maji ?
Sikuandika yote, neno baadhi lina nafasi hapo.
SGR, Kikwete alitaja sana, flyovers hivyo hivyo, mabasi ya BRT imeanza wakati wa Kikwete.
Maendeleo huanzia kwenye fikra za ukweli badala ya kujidanganya.
Umasikini mbaya kuliko wote ni ule wa fikra.
 
chinembe Kwanza haya ni Mazito sana so Umeme mwingi unatumika kuvuta mabehewa! Pia Design yake sio energy efficient kwani Technology yake ya Mfumo wa umeme na Motor zake ni old tena sana so no efficiency !
Duniani No Moja Bigwa wa kutengeneza reli na Train za Umeme ni https://twitter.com/CRRC_global?ref_src=twsrc^google|twcamp^serp|twgr^author . Ambae Mwenda zake alimkataa (akijua anawakomowa kina mwafulani) kumbe anajiingiza kwenye matatizo. Hapa kwenye SGR tumepigwa tena na Kitu kizito na Chenye ncha kali
 
Kwa hiyo tusiendeleze sababu ilibuniwa na mwendazake?
 
Hivi kweli kuna mtu alifikiri tren zitakua kama zile za mabeveru.?

Tuache kubeza, kidogo kidogo hujaza kibaba
 
Idea ya SGR ilikuwa ya JK, bwawa la Stigler na kuhamia Dodoma ilikuwa ya Nyerere.
 
Sikuandika yote, neno baadhi lina nafasi hapo.
SGR, Kikwete alitaja sana, flyovers hivyo hivyo, mabasi ya BRT imeanza wakati wa Kikwete.
Maendeleo huanzia kwenye fikra za ukweli badala ya kujidanganya.
Umasikini mbaya kuliko wote ni ule wa fikra.

Hahaha eti Kikwete alitaja sana, hata Uraisi pia kila mtu anautaja sana, kwa kuwa tu unataja kitu haimaanishi kwamba unaweza na una uwezo wa kukifanya, kila mtu alitaja kuhamia Dodoma lkn hawakufanya hivyo ukiondoa Mkapa (RIP) ambaye alihamishia Bunge Dodoma ( Big step and Big up to him) aliyemfwata hakufanya kitu na Magu akahamishia Mji Mkuu Dodoma na hata Bunge kupitisha officially kwamba Mji mkuu wa Tanzania sasa ni Dodoma!
 
Idea ya SGR ilikuwa ya JK, bwawa la Stigler na kuhamia Dodoma ilikuwa ya Nyerere.

Wowowo idea ya JK ? Ushahidi uko wapi kwamba Kikwete alileta wazo la SGR ? Nijuavyo mimi idea na wazo la Kikwete ni UDOM, tofautisha kuongelea kitu na kukifanya kiwe, ni Stiegler na Dom ni Nyerere alileta wazo aliyelikamilisha ni Magu at least appreciate that, hivyo tu!
 
Hayo mabehewa yaende nchi nyingine mbona ya kizamani Sana hayana tofauti na yaliyoko TZ kasoro rangi tuuuuuuuuuuuuuuuuuuu
 
Hivi kweli kuna mtu alifikiri tren zitakua kama zile za mabeveru.?

Tuache kubeza, kidogo kidogo hujaza kibaba
Ndege mbona kama za Mabeberu??? Yaani nna pesa nisinunue kitu kizuri bora na madhubuti kisa Mwafrika?? Ubongo wako unatatizo pole sana😭. Hizi Behewa ni za 1945 huko full stop! Tuache kujitinganisha sijui na Kenya bra bra! Hapa kila kitu ohoo Kenya ni ghari Mafuta kuliko sisi- wakati shillingi moja ya Kenya na Shillingi ya Tz ni vitu viwili tofauti.
 
Ni kweli JK alianzisha ujenzi wa SGR , Wazo lake alilianzisha Mkapa na kuna 1KM rail ilijengwa maeneo ya Pwani! Plan ilikuwa SGR ianzie Maeneo ya Kisarawe ili kuwe na ufanisi na eneo la kituo liwe kubwa na lakutosha(angalia mpaka sasa toka pale stesheni mpaka Pugu ujenzi aujakamilika😁 Alipokuja Aliekuja kwanza alimtia Segerea jamaa aliewaleta Wawekezaji wa hii mnayoiita SGR ya sasa na hapo ndo madudu yalipoanza! Natafuta picha yake ntaiweka hapa soon (ya hiyo 1KM )

 
Okay ngoja niangalie Picha huku naendelea na ugumu wa maisha kitaa !!!!

Katika maadui wetu watatu sijui yupi tumemmaliza ingawa nadhani adui Ujinga anataka kutuzidi nguvu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…