Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

Angalia picha ya Dunia ukiwa Sayari ya Mars

Mukulu wa Bakulu

JF-Expert Member
Joined
Aug 12, 2014
Posts
4,051
Reaction score
12,954
Angalia Dunia ukiwa sayari ya Mars.

Hii ni picha imechapishwa na NASA ikionyesha Dunia kutokea Mars.
Screenshot_20230916_202108_Gallery.jpg
 
... na ukubwa wote huu ukiwa outer space dunia is just a particle? Really mere particle if not a distant debris! The universe is really endless; hakika aliyeumba kike na kiume ni mjuvi wa yote!
 
Kuna image ya dunia iliyopigwa na chombo cha voyager2 ambacho kipo angani tokea miaka ya 70. Nikasema duh kumbe dunia ni kama tone kweny mchanga wa bahari
 
Aaaaaah porojo hizo hata wewe unaweza kwenda kupiha picha mida ya jioni linyota moja na ukasema angalia mars inavyoonekana ukiwa mwezini
Wewe hiyo jioni unajuaje kama zinazoonekana ni nyota na sio jua ndogo ndogo ama jua lililogawanyika?
 
Kuna mahali kwenye biblia inasema 'yeye( mungu) huitundika dunia pasipo na kitu'. Hakika mungu alijipanga sana kuumba ulimwengu
Kaitundika pasipo na kitu ili baadae aje aichome moto vizuri na viunbe wote waliomo sio?
 
NASA wananufaika vipi na hizi projects zao?

Kuna longolongo kibwena kwenye hizi infos zao

Msanii umenichekesha Kwa sauti mbele za watu!

Watuwekee na picha ya Mars kutokea duniani.
 
Kaitundika pasipo na kitu ili baadae aje aichome moto vizuri na viunbe wote waliomo sio?

Kama wewe umeamua na kupanga kufanya jambo, haitakua ajabu mtu mwingine kuishangaa mipango yako?

Kama amesema kabisa ameitengeneza, ataichoma moto, shida Iko wapi?
 
Back
Top Bottom