Nangu Nyau
JF-Expert Member
- Jul 1, 2022
- 5,015
- 14,139
Wakiwa majukwaani wanasifia sana mafanikio ya utalii lakini tukija kutazama tulichovuna unasomewa changamoto tangu introduction mpaka hitimishoRwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.
Hiyo no 1 sjakuelewa Sana mkuru
Tz inachojuwa sahv ni kukata mauno tuUafrika hasa utanzania ni laana.
Waafrika hasa watanzania wana Upumbavu wa milele.
MurakozeKwanza tuanze na takwimu za kijiografia.
Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.
Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.
Jana, tarehe 2.11.2023 Rwanda imetangaza kufuta visa ama kibali cha mtu yoyote kutoka Afrika kuitembelea Rwanda, kwenda Rwanda ni kama unaenda nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza masuala ya visa wala nini.
Rwanda inafanya matangazo ya vivutio vyao vidogo walivyonavyo kwenye klabu kubwa za mpira Duniani. Ukifika Rwanda mabango yote yanatangaza vivutio vya utalii. Tanzania kila barabara matangazo ni ya Rais Samia kuupiga mwingi.
Rwanda imekua nchi ya nne Afrika kufuta Visa kwa Waafrika wenzao ikitanguliwa na nchi nyingine kama Benin.
Je, Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda?
Rwanda hawana mbuga za wanyama kama za Tanzania,haina vivutio vingi na vyenye hadhi kama vya tanzania, bado tunakaribiana kwa idadi ya watalii,wangekuwa na mbuga moja tu kama ngorongoro wangefikia hiyo idadi ya 7m au zaidi.Basi Rwanda wamefeli walitakiwa wawe na watalii hata 7M au 10M, investment ambayo Rwanda ameifanya ni kubwa sana kuliko Tanzania.
Visit Rwanda Arsenal na PSG, watu wanaofuatilia mpira ni wengi sana na pesa waliyolipa ni kubwa mno kutangaza sekta yao ya utalii nafikiri siku Tanzania ikitumia same approach itafanya maajabu, ingawa hofu yangu sisi Watanzania ni walalamishi hapo zingekuja hoja watu wanakula mlo mmoja nyie mnaenda kuwapa pesa Arsenal?
Tunapenda matokeo ila hatupendi njia zinazoleta mafanikio.
Yaani ni takataka
Hakuna cha kujifunza.Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.
Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.
Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.
Jana, tarehe 2.11.2023 Rwanda imetangaza kufuta visa ama kibali cha mtu yoyote kutoka Afrika kuitembelea Rwanda, kwenda Rwanda ni kama unaenda nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza masuala ya visa wala nini.
Rwanda inafanya matangazo ya vivutio vyao vidogo walivyonavyo kwenye klabu kubwa za mpira Duniani. Ukifika Rwanda mabango yote yanatangaza vivutio vya utalii. Tanzania kila barabara matangazo ni ya Rais Samia kuupiga mwingi.
Rwanda imekua nchi ya nne Afrika kufuta Visa kwa Waafrika wenzao ikitanguliwa na nchi nyingine kama Benin.
Je, Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda?
Hakuna mtu kaja kuomba chakula kwako. Acha Chama kifanye yakeMaza mwenyewe alikiri kuwa aliingizwa kingi na wajanja wala hakuna cha Royal Tour ni utapeli tupu
Kinacho tafutwa ni soko , fikiria Una nyumba ya kulala wageni yenye vyumba 10, na idadi ya wateja ni wawili yaani hiyo ni Rwanda, inabidi uongeze wateja ili vyumba vijae, vivyo hivyo kwenye huduma zingine.Kwanza tuanze na takwimu za kijiografia.
Rwanda ni ndogo kuliko mko wa Tabora. Rwanda ina ukubwa wa Kilomita za mraba elfu 26, Tabora ina ukubwa wa mraba kilomita elfu 29.
Rwanda ina watu wasiozidi milioni 12. Tanzania ina watu zaidi ya milioni 61.
Rwanda haina mbuga ya wanyama wala vivutio vyovyote vya kitalii kama ilivyonavyo Tanzania lakini mwaka 2022 Rwanda ilipokea watalii milioni 1.1 huku Tanzania ikipata watalii milioni 1.6 pamoja na kua na vivutio vya utalii visivyo na Idadi.
Jana, tarehe 2.11.2023 Rwanda imetangaza kufuta visa ama kibali cha mtu yoyote kutoka Afrika kuitembelea Rwanda, kwenda Rwanda ni kama unaenda nyumbani kwako, hakuna wa kukuuliza masuala ya visa wala nini.
Rwanda inafanya matangazo ya vivutio vyao vidogo walivyonavyo kwenye klabu kubwa za mpira Duniani. Ukifika Rwanda mabango yote yanatangaza vivutio vya utalii. Tanzania kila barabara matangazo ni ya Rais Samia kuupiga mwingi.
Rwanda imekua nchi ya nne Afrika kufuta Visa kwa Waafrika wenzao ikitanguliwa na nchi nyingine kama Benin.
Je, Tanzania tuna cha kujifunza kutoka Rwanda?
Hapa kuna kucheza na 'psychology'. Kenya wanatoza USD 30 kwa e-registering,hiyo ni Visa1. Kufuta visa kwa Waafrika sidhani kama kuna faida.
Tuna tatizo kubwa . Kwanza, siamini katika bureaucracy za serikali iliyoshindwa kuendesha UDART licha ya soko lisilo na mpaka, siamini kuipa tena kazi hiyo. Serikali haiwezi kuendesha chochote!2. Kuboresha namna tunavyojitangaza ni wazo zuri.
Hakuna ubunifu! tuna chawa wengi kuliko 'watu' wenye akili. Bila kumtangaza utaonekanaje?3. Tz tuna kasumba ya kumtangaza Raisi wetu kuliko tunavyoitangaza nchi na vivutio vya utalii tulivyonavyo.
Dada angu tulia wewe akili yako bado ni ndogo snHakuna mtu kaja kuomba chakula kwako. Acha Chama kifanye yake